Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nambie tu ukweli kuwa CCM haitegemei kura hata moja kukaa madarakani, maana ingekuwa inategemea kura leo isingekuwepo madarakani. CCM inahitaji vyombo vya dola tu visivyojitambua basi inapata uhakika wa kukaa madarakani.Unaongelea nani? Wewe nani hata CCM ikupaparikie, wameondoka kina Lowasa na wakarudi, itakuwa wewe unayejificha nyuma ya keyboard?
CCM haitegemei kura za wenye kadi za CCM pekee, kama ulikuwa huelewi basi leo umeelewa.
Huyu atawagawa wapiga kura.
Huyu aje awe waziri fulani inatosha. Kwenye Urais kura zitagawanyika mno.
Zikigawanyika zitakusanywa ondoa shakaHuyu atawagawa wapiga kura.
Huyu aje awe waziri fulani inatosha. Kwenye Urais kura zitagawanyika mno.