CCm inauhakika wa kuibaUnaongelea nani? Wewe nani hata CCM ikupaparikie, wameondoka kina Lowasa na wakarudi, itakuwa wewe unayejificha nyuma ya keyboard?
CCM haitegemei kura za wenye kadi za CCM pekee, kama ulikuwa huelewi basi leo umeelewa.
Halafu homeboy Tundu Lisu riwaya na simulizi za kusisimua kama vile chinua achebe. Ni Mwendo wa simulizi tumakuwad ya warabu yamechanganyikiwa.
Inategemea ujinga wa policcm na wakurugenzi kuiba kura haijawahi kushinda. #BANDARI yetu isiuzweUnaongelea nani? Wewe nani hata CCM ikupaparikie, wameondoka kina Lowasa na wakarudi, itakuwa wewe unayejificha nyuma ya keyboard?
CCM haitegemei kura za wenye kadi za CCM pekee, kama ulikuwa huelewi basi leo umeelewa.
Hakika wewe ndio mama D Jane Lowassa na cocochanel wa enzi hiziUnaongelea nani? Wewe nani hata CCM ikupaparikie, wameondoka kina Lowasa na wakarudi, itakuwa wewe unayejificha nyuma ya keyboard?
CCM haitegemei kura za wenye kadi za CCM pekee, kama ulikuwa huelewi basi leo umeelewa.
Vyovyote utavyofikiri ni sawa.Inategemea ujinga wa policcm na wakurugenzi kuiba kura haijawahi kushinda. #BANDARI yetu isiuzwe
2025 tunaenda na upinzani huyo bi tozo wenu arudi zenj akakae na wajukuu keshazeeka hana jipyaKitu usichoelewa ni kuwa Serikali ya mama Samia anfata sera za CCM, ntaisahihisha kama itatoka nje ya sera za CCm.
Umeelewa?
Hakuna ngazi itakayoachiwa, uzuri ni kwamba hata ukiachia kadi hadharani huna pa kwenda maana So Urais Wala wingi wa wabunge hamuwezi pataNiwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.
2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.
Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.
Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Mimi nashauri hiyo nafasi ya ugombea nafasi ya urais arudishwe Dr.Slaa ndo kiboko yao.Huyu atawagawa wapiga kura.
Huyu aje awe waziri fulani inatosha. Kwenye Urais kura zitagawanyika mno.
Nadhani ungeanza kurudisha Kabla ya 2025Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.
2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.
Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.
Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
achana nae huyo wanafanya nchi mahali yao Mungu atapindua meza watu wa mtazamo mwingine watachukua nchi hiiDAH. Ila wewe.
Ni itu gani serikali ya Samia itafanya hadi wewe uje hapa uisahihishe?. Nahisi wewe kila kitu ni ndio.
Natabiri hadi 2025 utakuwa umeshachoka kuisifia kila ikifanya jambo la kiboya.
Njaa tu inakusumbua!Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.
2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.
Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.
Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Kushinda hawezi isipokuwa NEC ndiyo itampitishaNiwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.
2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.
Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.
Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Hakuna lolote sisi ni waoga snTutakuwa macho zaidi na zaidi.
Nani anajifariji? Wewe au Mimi?Ndio mnajifariji.
We are united believe it! We want to make sure that Tulia Ackson and Bibi titi don't get a single vote from mainlanders notably Tanganyika s.Kura yako Moja tu!