Siasa za afrika ni ujuha mtupu. Mm sio mwana siasa na sina chama ila CCM ni wezi lipo waziVyovyote utavyofikiri ni sawa.
Miaka yote uibiwe wewe tu? Utakuwa ni poyoyo wa hali ya juu kama unashindwa kulinda haki yako.
bila shaka utakuwa na ushawishi kuliko Lowassa, Kingunge, Maalim Seif, Aboud Jumbe, Mrema, Sumaye, Fundikira, n.kNiwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.
2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.
Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.
Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Wanamchosha na maokoto asifike huko akiwa na siha njemaNiwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.
2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.
Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.
Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Huyu Cartoonist ni kiboko! Kamuonyesha mama alianza kwq sura yake halisi lakini kadri muda uliyosonga akawa wanabadilika na kufanana na Jiwe. Picha ya mwisho mama ana komwe kama Jiwe kabisa.Bara bara kabisa ndugu mtangazaji . Hana pumzi ya kusimama 2025. ...Bado hata sindano hazijaanza kumwingia kashaweweseka.
Kuna watu watakuja kuongea anaweza kuzimia.
View attachment 2717045
Kadi alirudisha Kingunge na bado ccm ikashindaNiwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.
2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.
Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.
Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Endelea kuamini hivyo hata KANU ilikuwa hivyo enzi ya MOIKadi alirudisha Kingunge na bado ccm ikashinda
Acha kufananisha ccm na vitu vya ovyo ovyo weweEndelea kuamini hivyo hata KANU ilikuwa hivyo enzi ya MOI
JF member ni mwanaccm kindaki ndaki sana. Siwezi kudharau sana anachosemaKwa nini utarudisha kadi??
Wasomi waliozalishwa na vyuo vikuu vya kenya ndivyo vilivyoing’oa KANU madarakani.Acha kufananisha ccm na vitu vya ovyo ovyo wewe
Utashaangaa samia alivyona roho ngumu ,bado atasimama hiyo 2025 na kusema tuwe wazalendo kwa nchi yetu.hii itskuwa ni dharau kwa watanzania kwa kweliBara bara kabisa ndugu mtangazaji . Hana pumzi ya kusimama 2025. ...Bado hata sindano hazijaanza kumwingia kashaweweseka.
Kuna watu watakuja kuongea anaweza kuzimia.
View attachment 2717045
Nimekwambia acha kufananisha ccm na vitu vya ovyoWasomi waliozalishwa na vyuo vikuu vya kenya ndivyo vilivyoing’oa KANU madarakani.
Vyuo vikuu vya Kitanzania vipi??
Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.
2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.
Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.
Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Huwa ni balaa tupu.Usifanye mchezo na kukimbiza marathon ya uchaguzi mkuu, Ile kitu sio mchezo afu huku unapigwa sindano kule unapigwa bomba utaweza zima hoja? Mana wakati huo haina Ile kubambikizia watu kesi za uhaini na pia inahitaji big brain kuongea na wananchi wakuelewe sasa zipo? Mana hufanyi ziara wala huzindui hata kamradi kokote sijui utawaleza nini raia na itakuwa ni kipindi cha khali ngumu ya kimaisha na kiuchumi kiujumla sioni iyo nguvu ya kupeperusha iyo bendera ya rangi ya nyasi za kijani.