Akitoka BAN apewe Heshima yake JamiiForums kwani kwa 100% alichokisema Kimetokea Jana

Una tabia za Mke wa mtu mdangaji.. Unatoka na Madera mtaani, ukifika viwanja una vimini.

Hata JF unafosi followers [emoji2][emoji2]
 
Bwana ametenda miujiza.

Vile huku sasa atatumia jina la kipaimara
Jina la kwenye cheti cha kuzaliwa.
Jina la ubatizo.
Jina la kipaimara.
Jina la mtaani.
Jina la shuleni upili.
Jina na chuoni.
Jina la bebi wake.
Yaani mtu anatumia majina si chini ya saba.
 
Jamaa ana Baraka gani kwani akitabiri Kitu kwa 90% kitatokea lakini tunajitahidi Kutwa Kumchukia, Kumkashifu,
Hebu weka tabiri zake nyingine 9 ambazo zimetokea kama alivyotabiri ili tuthibitishe hiyo accuracy rate ya 90%
 
Moderator aya mambo nyie wenyewe ndo mna ya entertain hivi mmeshindwa kuziunga hizi ID zote za uyu jamaa??
cc.
Paw Maxence Melo
Eti MINOCYCLINE ndiyo GENTAMYCINE. Wewe Jamaa ni Pumbavu hakuna mfano hapa duniani.

Nilicho na uhakika nacho ni kwamba ID yangu hii ya MINOCYCLINE itaendelea kuwepo na ya huyo Mume wenu GENTAMYCINE mnayemshobokea Kutwa hapa na Kulazimisha Kunifafanisha nae itaendelea kuwepo.

Mwendawazimu mkubwa Wewe Ok?
 
[emoji23][emoji23] hizi akili hua unazitoa wapi
 
Pumbavu Una ID ngapi wewe genta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…