Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una tabia za Mke wa mtu mdangaji.. Unatoka na Madera mtaani, ukifika viwanja una vimini.Mwanachama Maarufu hapa JamiiForums anayeongoza kwa Kuchukiwa bila sababu yoyote ila amebarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu aitwae GENTAMYCINE akitoka BAN yake apewe Heshima yake ya Kipekee hapa JamiiForums.
Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) kwa muda wa Wiki nzima kabla ya Mechi ( Derby ) ya Simba na Yanga alisema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kuwa Yanga SC itafungwa na Simba SC na Kweli Simba SC jana Kafungwa.
Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) katika moja ya Uzi wake alituhakikishia hapa kuwa anaona Yanga SC Kufungwa Goli nyingi na Simba SC ila anaziona Goli 2 kwa 0 kama Yanga SC wakijitahidi Kuyapunguza na kweli Yanga SC ikafungwa idadi hiyo hiyo ya Magoli.
Hata Mimi MINOCYCLINE nisifiche huyu Jamaa ( GENTAMYCINE ) simpendi na Yeye anajua hilo ila najiuliza huyu Jamaa ana Baraka gani kwani akitabiri Kitu kwa 90% kitatokea lakini tunajitahidi Kutwa Kumchukia, Kumkashifu, Kumdhalilisha huku mara kwa mara tukimuombea BAN kwa Moderators ambao nao hutupa Ushirkiano kwa kumpa BAN haraka ila bado tu anakuwa Mtu maarufu kutuzidi na hata akiwa BAN ( Kifungoni ) bado anaendelea kuwa Gumzo na sehemu Kuu ya Mjadala hapa JamiiForums.
au Kumchukia Kwetu Kutwa hapa JamiiForums ndiko Baraka zake Kuongezeka?
Alichotabiri Kimetokea hiyo Jana.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1] kweli kabisa humu ndani taabu tupuUkifa kwa pressure JF umetaka mwenyewe
utakufa kwa kihoro unahasira GENTA mwana mpaka mate yanakukaba....Moderator aya mambo nyie wenyewe ndo mna ya entertain hivi mmeshindwa kuziunga hizi ID zote za uyu jamaa??
cc.
Paw Maxence Melo
acha g3nye dogo upinde wana kufokonyoa huo mrato nini?utakufa kwa kihoro unahasira GENTA mwana mpaka mate yanakukaba....
Jina la kwenye cheti cha kuzaliwa.Bwana ametenda miujiza.
Vile huku sasa atatumia jina la kipaimara
Hebu weka tabiri zake nyingine 9 ambazo zimetokea kama alivyotabiri ili tuthibitishe hiyo accuracy rate ya 90%Jamaa ana Baraka gani kwani akitabiri Kitu kwa 90% kitatokea lakini tunajitahidi Kutwa Kumchukia, Kumkashifu,
Eti MINOCYCLINE ndiyo GENTAMYCINE. Wewe Jamaa ni Pumbavu hakuna mfano hapa duniani.Moderator aya mambo nyie wenyewe ndo mna ya entertain hivi mmeshindwa kuziunga hizi ID zote za uyu jamaa??
cc.
Paw Maxence Melo
[emoji23][emoji23] hizi akili hua unazitoa wapiMwanachama Maarufu hapa JamiiForums anayeongoza kwa Kuchukiwa bila sababu yoyote ila amebarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu aitwae GENTAMYCINE akitoka BAN yake apewe Heshima yake ya Kipekee hapa JamiiForums.
Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) kwa muda wa Wiki nzima kabla ya Mechi ( Derby ) ya Simba na Yanga alisema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kuwa Yanga SC itafungwa na Simba SC na Kweli Simba SC jana Kafungwa.
Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) katika moja ya Uzi wake alituhakikishia hapa kuwa anaona Yanga SC Kufungwa Goli nyingi na Simba SC ila anaziona Goli 2 kwa 0 kama Yanga SC wakijitahidi Kuyapunguza na kweli Yanga SC ikafungwa idadi hiyo hiyo ya Magoli.
Hata Mimi MINOCYCLINE nisifiche huyu Jamaa ( GENTAMYCINE ) simpendi na Yeye anajua hilo ila najiuliza huyu Jamaa ana Baraka gani kwani akitabiri Kitu kwa 90% kitatokea lakini tunajitahidi Kutwa Kumchukia, Kumkashifu, Kumdhalilisha huku mara kwa mara tukimuombea BAN kwa Moderators ambao nao hutupa Ushirkiano kwa kumpa BAN haraka ila bado tu anakuwa Mtu maarufu kutuzidi na hata akiwa BAN ( Kifungoni ) bado anaendelea kuwa Gumzo na sehemu Kuu ya Mjadala hapa JamiiForums.
au Kumchukia Kwetu Kutwa hapa JamiiForums ndiko Baraka zake Kuongezeka?
Alichotabiri Kimetokea hiyo Jana.
Pumbavu Una ID ngapi wewe gentaMwanachama Maarufu hapa JamiiForums anayeongoza kwa Kuchukiwa bila sababu yoyote ila amebarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu aitwae GENTAMYCINE akitoka BAN yake apewe Heshima yake ya Kipekee hapa JamiiForums.