Akitoka BAN apewe Heshima yake JamiiForums kwani kwa 100% alichokisema Kimetokea Jana

Mwanachama Maarufu hapa JamiiForums anayeongoza kwa Kuchukiwa bila sababu yoyote ila amebarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu aitwae GENTAMYCINE akitoka BAN yake apewe Heshima yake ya Kipekee hapa JamiiForums.

Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) kwa muda wa Wiki nzima kabla ya Mechi ( Derby ) ya Simba na Yanga alisema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kuwa Yanga SC itafungwa na Simba SC na Kweli Simba SC jana Kafungwa.

Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) katika moja ya Uzi wake alituhakikishia hapa kuwa anaona Yanga SC Kufungwa Goli nyingi na Simba SC ila anaziona Goli 2 kwa 0 kama Yanga SC wakijitahidi Kuyapunguza na kweli Yanga SC ikafungwa idadi hiyo hiyo ya Magoli.

Hata Mimi MINOCYCLINE nisifiche huyu Jamaa ( GENTAMYCINE ) simpendi na Yeye anajua hilo ila najiuliza huyu Jamaa ana Baraka gani kwani akitabiri Kitu kwa 90% kitatokea lakini tunajitahidi Kutwa Kumchukia, Kumkashifu, Kumdhalilisha huku mara kwa mara tukimuombea BAN kwa Moderators ambao nao hutupa Ushirkiano kwa kumpa BAN haraka ila bado tu anakuwa Mtu maarufu kutuzidi na hata akiwa BAN ( Kifungoni ) bado anaendelea kuwa Gumzo na sehemu Kuu ya Mjadala hapa JamiiForums.

au Kumchukia Kwetu Kutwa hapa JamiiForums ndiko Baraka zake Kuongezeka?

Alichotabiri Kimetokea hiyo Jana.
Inabidi nami nitengeze ID mbadala
 
mi kwa ujumla namuelewa bwana GENTA....ila kuna vilaza vichwa vibovu sijajua shida nini ....wana mchukia mwana....!!
 
[emoji3][emoji3][emoji2]

JamiiForums53263928.jpg
 
Gentamycin ni sawa na askari wa zanzibar tu...well renowned narcist and hypocrite.....hovyoooo
 
Wambie wakutoe ban unapata shida ya kuja na akaunt nyingine
 
kwanza ni kwambie huyo bwana ana uhusiano wa karibu na informers wa simba ambao humpa ushirikiano kwa kumpa siri za waganga wao na mara nyingi hutoa maelezo kutoka kwa hao viongozi wao na all the times ni kukusia tu sema makisio hayo huja na bahati basi, hakuna kingine.
 
Inabidi nami nitengeze ID mbadala
Jitahidi ziwe angalau kama 25 hivi walizonazo wengine kisha chagua chache za kukupa Umaarufu hapa JamiiForums na zingine za Kukutambulisha Wewe ni Mwanamke na baadhi za Kuchafua tu hali ya Hewa hapa huku zingine ukijigawa moja ni ya kuwa mwana CHADEMA na nyingine ukijifanya ni mwana CCM na za mwisho ukijifanya ni Mtu Mwema huku nyingine ikikutambulisha ni Mtu Mtukutu.

Kila la Kheri.
 
mi kwa ujumla namuelewa bwana GENTA....ila kuna vilaza vichwa vibovu sijajua shida nini ....wana mchukia mwana....!!
Jiandae kuambiwa na Juha Mkuu hapa JamiiForums Tate Mkuu na Wenzake kuwa hii ID yako na hivi ulivyonisifia ni Yeye huyo GENTAMYCINE Wao kwani hata Mimi na hii ID yangu ya MINOCYCLINE wanalazimisha kuwa ni ya huyo huyo Mume Wao GENTAMYCINE ambaye wanamuimba 24/7 hapa Jamvini.
 
Gentamycin ni sawa na askari wa zanzibar tu...well renowned narcist and hypocrite.....hovyoooo
Sijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi Mizuzu ( Mijuha ) iliyokubuhu hapa kujua.
 
Wambie wakutoe ban unapata shida ya kuja na akaunt nyingine
Sijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi Mizuzu ( Mijuha ) iliyokubuhu hapa kujua.
 
Mwanachama Maarufu hapa JamiiForums anayeongoza kwa Kuchukiwa bila sababu yoyote ila amebarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu aitwae GENTAMYCINE akitoka BAN yake apewe Heshima yake ya Kipekee hapa JamiiForums.

Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) kwa muda wa Wiki nzima kabla ya Mechi ( Derby ) ya Simba na Yanga alisema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kuwa Yanga SC itafungwa na Simba SC na Kweli Simba SC jana Kafungwa.

Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) katika moja ya Uzi wake alituhakikishia hapa kuwa anaona Yanga SC Kufungwa Goli nyingi na Simba SC ila anaziona Goli 2 kwa 0 kama Yanga SC wakijitahidi Kuyapunguza na kweli Yanga SC ikafungwa idadi hiyo hiyo ya Magoli.

Hata Mimi MINOCYCLINE nisifiche huyu Jamaa ( GENTAMYCINE ) simpendi na Yeye anajua hilo ila najiuliza huyu Jamaa ana Baraka gani kwani akitabiri Kitu kwa 90% kitatokea lakini tunajitahidi Kutwa Kumchukia, Kumkashifu, Kumdhalilisha huku mara kwa mara tukimuombea BAN kwa Moderators ambao nao hutupa Ushirkiano kwa kumpa BAN haraka ila bado tu anakuwa Mtu maarufu kutuzidi na hata akiwa BAN ( Kifungoni ) bado anaendelea kuwa Gumzo na sehemu Kuu ya Mjadala hapa JamiiForums.

au Kumchukia Kwetu Kutwa hapa JamiiForums ndiko Baraka zake Kuongezeka?

Alichotabiri Kimetokea hiyo Jana.
Unataka Kiki tu kaka
 
Au ndo wewe Mwenyewe GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom