Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Sijanunua nimepewa bure.Atanunua tu Kwa bei ya kutupwa kama DPWORLD wamenunua bandari milele unategemea nini!!!
" Hili ni Fumbo, kama hauna D 2 hauwezi kuelewa hii Fasihi andishi.Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.
Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
😂Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.
Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
Nitapiga kuraaa mara tano wachukue yoteMfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.
Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
Cha msingi weka nia haihitaji pesa ndefu kupewa hilo eneoMfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.
Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
Mi sipoUwahamishe wapi unagawa Upande kuku upande bunge Mana wanafanana ukiwazoom.
Auziwe chapMfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.
Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
Bungeni kuna wapangaji?Mi ni dalali nimesaidia watu wengi kupata vyumba vya kupanga pale bungeni kuhusiana na kiwanja njoo Pm ila iwe siri yako usimshirikishe mtu
Yeah wapoBungeni kuna wapangaji?
SawaAuziwe chap
Dogo nitakulamba makofi.Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.
Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
Imaam Hussein ibn ali A.S kipenzi chetu cha dhati atakasirika na qauli thabeet kuingia mushkel.Auziwe chap