Akitokea mwekezaji mwenye mabilioni ya dola mwenye nia ya kununua majengo ya bunge kwaajili ya uwekezaji itakuwaje?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.

Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
 
Atanunua tu Kwa bei ya kutupwa kama DPWORLD wamenunua bandari milele unategemea nini!!!
 
Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.

Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
" Hili ni Fumbo, kama hauna D 2 hauwezi kuelewa hii Fasihi andishi.
 
Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.

Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
😂
 
Nitapiga kuraaa mara tano wachukue yote
 
Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.

Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
Cha msingi weka nia haihitaji pesa ndefu kupewa hilo eneo
 
Mi ni dalali nimesaidia watu wengi kupata vyumba vya kupanga pale bungeni kuhusiana na kiwanja njoo Pm ila iwe siri yako usimshirikishe mtu
 
Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.

Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
Auziwe chap
 
Dogo nitakulamba makofi.
 
Back
Top Bottom