Kwann fedha itafutwe na mtu au familia? Ndiyo maana Lisu anasema iwekwe mifumo ya chama kupata fedha za kuendeshea shughuli zake. Mbowe amekuwa akitumia uchochoro huu kukikopesha na kukidai chama mabilioni ya fedha kila mwaka.
Pointi na 1 na 2, Jebra ni wakili, katiba ndiyo msahafu wake, hivyo huwezi kuwa unajua katiba kuliko yeye.
Aisee ni bora kabisa Chadema haikuingia madarakani kabla ya kuwajua vizuri . Huku chama cha Mbowe ni hatari sana kwa Taifa hili kama watabaki na mtu badala ya taasisi.
Chama kina wanachama zaidi ya mil. 6 halafu eti Mowe ndio anakiendesha kwa fedha zake na eti anapata hasara ? Ni ujuha kumsikiliza Huyo mhuni .Yaani anapata hasara na ni mzigo mkubwa lakini hataki kuacha hiyo hasara na kutua huo mzigo mzito.Kumwamini mtu kama huyo inahitaji kuwa mwendawazimu.
Ukiweka mfumo wa kiuongozi kwa wanachama mil.3 kwa Mwaka wachangie sh. elfu 5 tu achilia wale waliokua wanachanga kama wabunge n.k. Unakua na Tshs. Bil.15 kwa Mwaka mmoja . Achilia mbali miradi ya Chama . Sasa bil.15 ni za wana chama tu achilia mbali wafadhili na wadau wa Chama halafu Mwizi ,fisadi ,tapeli, muuaji, mhuni ,dikteta, muongo,mwizi Mbowe anasema haiwezekani mtu mwadilifu kuendesha chama . Chama chenye uadilifu kitazaa serikali ya watu waadilifu. Chini ya Mbowe kamwe Chadema halitaingia madarakani maana ule ni mradi wake wa kupiga hella za rushwa huku nje akijifanya ni mpambanaji.
Mbowe na Genge lake ni Wanafiki na waongo ,waovu na watu wasio na kiasi kwani wanataka katiba ya Warioba yenye mpaka ukomo wa wabunge wa kuchaguliwa majimbo ni na ukomo wa kila mtawala lakini wao hawataki sio tu ukomo wa viti maalumu lakini pia ukomo wa uongozi ndani ya chama . Halafu wanajiita chama cha kidemokrasia ,kinakua na demokrasia gani kama hakuna mfumo wa demokrasia ndani ya chama ?
Lisu anaongelea chama chenye mifumo ya kidemokrasia Mbowe anaongelea kejeli na kujisifia kuwa pesa zake ndizo chama na bila yeye Chadema inakufa . Pumbavu kabisa . Halafu anawajaza ujinga Machawa wake kama yule mwehu aliyesema eti Lisu hana uwezo wa kuwa Mwenyekiti ,alipoulizwa mbona mllipitisha kugombea urais ,kwa akili yake ya kinyumbu akajibu eti angakua RAIS chama kingemsilamia ? Yaani Hawa ndio mathink tank waliomzunguka Mbowe na wanaweza kumsimamia Rais wa nchi yenye katiba kama tuliyonayo ? Rais anayetaua wabunge kumi wa kweke ,Rais anayetaua mawaziri anavyotaka yeye, Rais anayetaua Governor wa benki kuu , Rais anayetaua katibu wa Bunge, Rais anayetaua majaji ,rais anayetaua mabalozi ,Rais anayemteua CDF ,Rais anayemteua IGP ,Rais anayemtaua mkuu wa usalama wa Taifa , Rais mwenye uwezo wa kutoa maelekezo ya kutrack simu za mtu yeyote muda wote ,Rais anayemteua DPP , rais anayeweza kuzuia shughuli zote za kisiasa ; eti huyo ndiye Wapumbavu wangeweza kutumia chama cha mtu binafsi kumdhibiti na kumuelekeza wanayotaka wao ,Rais mwenye ni mtu mwenye akili kubwa kama Tundu Antipas Lisu !!!😂😂😂😂😂
Huu uchaguzi umetuonyesha kumbe chadema kilikua limeshikiliwa na watu wenye akili finyu sana na ndio maana walikua wanafukuza fukuza fukuza wetu wenye akili kubwa kila wakati kwa gia ya usaliti..
Yesu Mwenyewe alijua kuwa Yuda atamsaliti lakini hakumfukuza .
Fukuza fukuza ya Mbowe ilikua ni ili abaki na mbumbumbu wa kumwabudu na kumlamba viatu . Maana kwa utaji wake tu ni heshima tosha ya kumpa magunia ya Machawa ,sembuse ni mmiliki wa chama ,lakini hayupo kabisa ndani ya mioyo ya hata hao Machawa ndio maana akitangaza maandamano hata chawa wake hawamuungi mkono wanamwacha adhalilike mwenyewe na familia yake !!😂😂😂 Halafu cha ajabu sana ,eti anaamini kuwa chawa wake Wanampenda kama familia yake 😂😂😂😂😂Huu nao ni ujuha wa mfalme Juha!!