Ukweli mchungu:
View attachment 3186521
Labda tusaidiane kufahamu, hivi kweli ni nani hataki haya?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
Mbona na wewe mahaba yako kwa Sultan yamekupofusha? Chadema kuna matatizo sana hasa eneo la fedha watu wameulizia hela za join the chain ziko wapi hadi leo hakuna majibu. Lissu anakwenda kuisafisha Chadema ili ipate uhalali wa kuikosoa vema CCM. Tuacheni demokrasia ichukue mkondo wake.Ipo hivi,
Huyo jamaa ni wakili anaeheshimika, ila mapenz yake kwa TL yanampofusha
1.Kwa Mujibu wa katiba ya Tanzania, itakuwa ni marufuku kutunga sheria inayoenda kinyume na matakwa ya Katiba ya JMT .. swali, Katiba ya JMT imeweka ukomo wa Ubunge viti maalumu?
2.Wabunge Special seats wakilalamika na wabunge majimboni wawaunge mkono wenzao itakuwaje?
Kwanini asisitize uchaguzi huru na haki kuanzia ngazi ya chama na rating zitoke majimboni/mkoani?
3.Kuna tatizo gani la kifedha CDM kutoka kwa CAG ambalo TL anataka kulitatua
4.Msimamo, nini kinamzuia kifanya hivyo sasa?
Harakati na siasa haziivi chumba kimoja, .. TL atakuwa kiongoz wa CDM wa muda mfupi sana kuwahi kutokea...
A seasonal politician
Tatizo shahidi yao marehemu 😁Wenye kudai uwepo wa pesa za Abduli wanaweza kuwa na hoja, wasikilizwe!
Mkuu brazaj heshima kwako,
Tafadhali soma taratibu utaona point zote zinajibiwa.
Namuheshim sana Wakili Jebra
Mawakili wana akili, na wanapigania haki lakini hawataki uchaguzi huru, wakati hiyo ndiyo njia ya kupata viongozi kwa haki.
Au kwanini hawawezi kuanzisha vyama vyao vya siasa tuone umahiri wao.
Ahsante,Mkuu ninapoikoea heshima uliyonipa kwa mikono miwili nikuombe kuzipitia hoja zile ziko 4 tu kujiridhisha ni zipi usizozitaka wewe.
Zingatia swali lile ni ipi au zipi usizozitaka wewe?
Mbona yalikuwa ni majibu tu yaliyohitijika pale?
Majibu yako, ikikupendeza tafadhali.
Ahsante,
1,2,3 ni ahadi zisizotekelezeka mkuu...
Huwezi kutunga sheria au kanuni au muongozo wowote ambao ni kinyume na katiba ya nchi...labda kama una ufafanuzi tofauti.
Hiyo namba nne ni maneno tu ya kisiasa kama ari mpya kas mpya.
Shukrani mkuu.
Wafuasi wa Lisu, mnatofauti gani na Team WEMA?Kwani umeona wapi hawataki uchaguzi huru?
Ajabu ni kuwa wafuasi wa mwamba kama mafisi, walidhani watasusiwa bucha.
Mkuu Azarel ahsante kwa ufanlfanuzi, lakini natofautiana nawewe kwa mambo kadhaa..Una hoja nyepesi sana ila zinajibika :
NAKUJIBU HIVI :-
1) Kwanza sio kweli kuwa Katiba ya JMT inabana vyama vya siasa kujitungia sheria zake, Tofautisha Katiba ya Jamhuri na katiba ya Chama
2) Kambole amesisitiza hivyo kwasababu kwa CHADEMA asilimia kubwa ya Viongozi hata wajumbe wa kamati kuu ya chama wanachaguliwa na MWENYEKITI, yaani Mwenyekiti ni Muamuzi wa mwisho kupitia teuzi zake....Nashangaa CDM inavyomsema Rais Samia kuwa ana Overpower
3) Tatizo la Kifedha lipo na ni kubwa sana, Fesha za Ruzuku hazifiki mashinani. Zinaishia kwenye Uongozi wa juu na unalipa mishahara watu wachache TU, kwenye uongozi wa chini huku Mwenyekiti anapitisha Harambee wanachama wachangie jerojero na bukubuku au zaidi
4) Msimamo wa Mwenyekiti wa sasa FREEMAN AIKAEL MBOWE ni wa kigeugeu na hauna tija wala matokeo wanayoteegemea wanachadema
HARAKATI ni Muhimu zaidi kuliko SIASA, Wanaharakati wameleta mabadiliko duniani kuliko Wanasiasa
Nakusubiri,
Mkuu unajua Watu si Wajinga, nenda na hilo kwasababu kuna vitu umeandika hapo nikikuambia uthibitishe hutawezaMkuu Azarel ahsante kwa ufanlfanuzi, lakini natofautiana nawewe kwa mambo kadhaa..
Na itakuwa busara nikamtaja brazaj kuwa amenielekeza hapa nikiwa sijasoma vizur ..
1. Suala la katiba ni hakika na litaleta mkanganyiko mkubwa sana kati ya katiba ya nchi na Chadema ikiwa itabadilishwa,
Lakini zaidi swali litakuja kwanini special seats, wabunge wa kawaida kwanini na wao wasiwe na kikomo, kwakuwa, mbunge wa jimbo akimuunga mkono mgombea mpya ni rahisi sana kufanya vizur, mfano kwa Chadema ni Philemon Ndesamburo na Dr. wilbroad Slaa... Kwa uchaguzi wa mwaka 2010, na 2015.
2. Kama kweli unaioenda CDM na unapenda mageuzi ni hatari sana kuwa na chama chenye mamluki ndani, kumbuka ni rahisi kwa Chama dola kusimika mapandikiz ndani ya chama kwa kutumia excuse ya Democracy... Tuwe makini sana, nchi yetu ili adopt style ya China katika kuendesha siasa zake hasa CCM
3. Naomba nikukabidhi wewe suala la 107M kwa mwez uzisambaze kwenye majimbo, wilaya na Kanda na ulipe mishahara na bills za makao makuu... At least kwa hiyo income inayoonekana hapo..
4.Msimamo Kigeu geu, nadhan ulikuwepo kipindi cha Magufuli na madhila waliyopitia wapinzani,
Msimamo wangu..
Ashinde TL au FAM ni kwa manufaa ya CDM wote wana faida na mapungufu yao.... Tuwe na busara, ukweli na kiasi..
Mambo sio rahisi kias hicho
Mbowe kasema.. CDM ruzuku ni 107M kama una data tofauti niambie...Mkuu unajua Watu si Wajinga, nenda na hilo kwasababu kuna vitu umeandika hapo nikikuambia uthibitishe hutaweza
Kwa mfano: unaweza kuweka ushahidi hapa kuwa CHADEMA inaingiza ruzuku shilingi Mil. 107 kwasasahv?
Unadhani hajui,huyo ni shaabiki wa wanaomuogopa LISSU hivyo nafuu kwao ni MBOWE.Kwann fedha itafutwe na mtu au familia? Ndiyo maana Lisu anasema iwekwe mifumo ya chama kupata fedha za kuendeshea shughuli zake. Mbowe amekuwa akitumia uchochoro huu kukikopesha na kukidai chama mabilioni ya fedha kila mwaka.
Pointi na 1 na 2, Jebra ni wakili, katiba ndiyo msahafu wake, hivyo huwezi kuwa unajua katiba kuliko yeye.
Inaonekana kuwa katiba ya CDM kwa sasa haijaweka UKOMO wa Mwenyekiti kushika hiyo nafasi,sasa je katiba ya JMT inasemaje kuhusu nafasi ya juu kabisa ya uongozi (RAIS),kuna UKOMO au HAKUNA?Mkuu Azarel ahsante kwa ufanlfanuzi, lakini natofautiana nawewe kwa mambo kadhaa..
Na itakuwa busara nikamtaja brazaj kuwa amenielekeza hapa nikiwa sijasoma vizur ..
1. Suala la katiba ni hakika na litaleta mkanganyiko mkubwa sana kati ya katiba ya nchi na Chadema ikiwa itabadilishwa,
Lakini zaidi swali litakuja kwanini special seats, wabunge wa kawaida kwanini na wao wasiwe na kikomo, kwakuwa, mbunge wa jimbo akimuunga mkono mgombea mpya ni rahisi sana kufanya vizur, mfano kwa Chadema ni Philemon Ndesamburo na Dr. wilbroad Slaa... Kwa uchaguzi wa mwaka 2010, na 2015.
2. Kama kweli unaioenda CDM na unapenda mageuzi ni hatari sana kuwa na chama chenye mamluki ndani, kumbuka ni rahisi kwa Chama dola kusimika mapandikiz ndani ya chama kwa kutumia excuse ya Democracy... Tuwe makini sana, nchi yetu ili adopt style ya China katika kuendesha siasa zake hasa CCM
3. Naomba nikukabidhi wewe suala la 107M kwa mwez uzisambaze kwenye majimbo, wilaya na Kanda na ulipe mishahara na bills za makao makuu... At least kwa hiyo income inayoonekana hapo..
4.Msimamo Kigeu geu, nadhan ulikuwepo kipindi cha Magufuli na madhila waliyopitia wapinzani,
Msimamo wangu..
Ashinde TL au FAM ni kwa manufaa ya CDM wote wana faida na mapungufu yao.... Tuwe na busara, ukweli na kiasi..
Mambo sio rahisi kias hicho
Unadhani hajui,huyo ni shaabiki wa wanaomuogopa LISSU hivyo nafuu kwao ni MBOWE.
Wafuasi wa Lisu, mnatofauti gani na Team WEMA?
Kelele nyiingi, huyo Mbowe hata haongei, nyie kutwa kucha kubwabwaja.
WellUkweli mchungu:
View attachment 3186521
Labda tusaidiane kufahamu, hivi kweli ni nani hataki haya?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
PhD orijino hizi
Mbowe kasema.. CDM ruzuku ni 107M kama una data tofauti niambie...
I will be ready to accept your facts..
2015-2020 CDM ruzuku ilikuwa 365M..
Just pay attention to FAM Speech, achana na propaganda za diaspora mkuu.
Btw, ntw the fact sikuzuii kusema unalolijua