Akiwashangaa Mbowe na wafuasi wake, Anaandika Wakili Jebra Kambole: "Kwani nani Hayataki Haya?

Hahaha Lisu alitaka nyingi zaidi ya wenzake nini? sasa kakosa vyote?
 
Mbowe kaua chadema waziwazi shida uchaga umeleta shida. Hivi vyama vina ukabila na udini mno. umimi umejaa haviendeshwi kitaasisi.
 
Ruzuku ilikiwa Mil 400 miaka ya 2015-2020 CHADEMA ilivyokuwa na viti vingi

SWALI:

1) Walikuwa wanawalipaje wanachama wa ngazi za chini kabisa?

2) Wakati anapokea hiyo ruzuku aliacha kuwachangisha pesa watu wa ngazi za chini kabisa? Hizo pesa zilifanya nini na Ruzuku ilifanya nini?

Karibu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…