uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Bilionea uyo,anao mpunga wa kutosha,sio wa kufulia Leo au keshoKwahiyo sahivi kabakiza milioni ngapi? Afu yuko wapi kwani....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bilionea uyo,anao mpunga wa kutosha,sio wa kufulia Leo au keshoKwahiyo sahivi kabakiza milioni ngapi? Afu yuko wapi kwani....
🏃🏃🏃😜Una akili sana We Mwanamke. 😄😄😄
🤣🤣🤣🏃🏃🏃😜
Waliosema bure ni gharama hawakukosea. Hapo wakigombana kidogo utashangaa mtu anatembea kwa miguu.Kuna Raha yake kuhonga gari ila bila kadi, Wetembelea tu ila si lako, nyumba bila hati, we kaa tu ila ni umepanga bila kodi.
Jamaa ana hela chafu sana kwasasa sema kimziki sasa hivi sio sana kabase sana kwenye biasharaKwahiyo sahivi kabakiza milioni ngapi? Afu yuko wapi kwani....
Wanawake wote wapitie hii comment. Hili nalo nenoMwanaume anaetoa hela bila kuombwa hata kama kidogo ni wa kumuheshimu sana. Shauri zake mwenyewe.
Hiyo hata mimi nakupa njoo pmAfu amsini
Halafu ugomvi wenyewe ni mwanamke amekuwa mzembe mpaka akamfumania mwenye gari akifanya ngono na mwanamke mwingine.Waliosema bure ni gharama hawakukosea. Hapo wakigombana kidogo utashangaa mtu anatembea kwa miguu.
🤣🤣🤣🤣 Ushaenda kijijini??Wakati mwingine mahusiano yanaleta umasikini, hasa pale unapokosa mtu sahihi; tuishi nao kwa akili
Nakusubiria umalize chuo kwanza twende wote kijijini, si unajua kule ni baridi?🤣🤣🤣🤣 Ushaenda kijijini??
Na kwenye kikao unasimamishwa ili wanachama wakuone na unakua mfano mbaya wa ubadhilifu wa mali yako bila kukusudia maana mda unatoa kichwa cha chini ndio kilikua kinafanya kazi.Yaani kwenye elfu kumi apate bigbom ya 200, naendelea kutafakari, akipata chips kuku robo kwa huku usahilini 4000 inabidi uitwe kwenye kikao kwa huu ubadhilifu
Verry sure bloodWakati mwingine mahusiano yanaleta umasikini, hasa pale unapokosa mtu sahihi; tuishi nao kwa akili
Santeeeee"Nilipopata kwa mara ya kwanza takribani bilion 3 ,niliwapa mama na baba yangu zaidi ya milioni 400 kila mmoja na mwanamke wangu akaachana namimi kwa sababu nilimpa milioni 13 tu." __ Akon
"Nilipopata bilion 3 yangu ya kwanza kutoka kwenye muziki, nilifurahi sana kwamba nilitumia kila kitu haraka sana. Kitu cha kwanza nilichonunua ni studio ili ikiwa kila kitu kitashindikana, niwe naandika na kutengeneza rekodi za wasanii wengine.
Nilitumia takriban m 680 kwenye seti hiyo ya studio. Kisha nikachukua m 400 na kumpa mama yangu, nikachukua ml 400 nyingine na kumpa baba yangu, na kuwapa ndugu zangu wote kama m 68 kila mmoja ili aweze kuanzisha biashara. Na wakati mpenzi wangu alipokuja kugundua kuhusu hilo, yeye akataka nimpe milion 545 Lakini mimi nilicheka tu na kumpa milion 13 kwa sababu siwezi kamwe kumpa mwanamke zaidi ya 2% ya jumla ya fedha yangu.
Baada ya kuona hivo akaamua kuachana na mimi kwa sababu niligundua kuwa anataka pesa tu na sio mimi. Jambo ni kwamba ikiwa unataka kuendelea kuwa tajiri kama mwanaume, lazima uwe mchoyo zaidi na hawa wanawake. Akon
NB : kiasi hicho cha pesa ni katika US DOLLAR sema hapo nimeconvert kuwa Tsh ili ieleweke vizuri kile Akon anasema.
Tafuta zakoBAHILI HILO