alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,370
- 3,163
Unajichua na unaona ni hali ya kawaida? Lakini sishangai maana na mimi nilikua hivo hadi pale Mungu kwa Neema yake peke yake aliponifungua. Kabla ya hapo nilijaribu sana kujitoa lakini wapi, Ila wakati wa Mungu ukawa ni bora sana na sahihi. Madhara ya punyeto ni mengi na kwa wapigaji tutakubaliana labda upinge tu. Baadhi ni kama:
1. Punyeto inakutoa uweponi mwa Bwana na kua kiumbe cha ulimwengu wa Giza.
2. Punyeto inakukosesha nguvu za rohoni na mwilini.
3. Punyeto inakufanya kukosa kibali na mamlaka na fursa mbalimbali. Kwa sababu huna NURU ila una UKUNGU
4. Punyeto inakufanya kukosa akili, maarifa, na Busara. Ila unakua mpumbavu.
Mwisho vijana tuacheni Punyeto. Omba sana Mungu akufungue ufahamu wako.