Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Weye acha hzoo na MAMELODI JEE..??

IMG_0761.png
 
Watupe advance kabisa tunataka tuwape ndugu zetu wapake rangi pale jangwani🤣
Ile rangi inawatosha ni juzi tu hapo tumewapa mtonyo kufanya service tukawashauri msipake marangi ya kijani maana kunguru watajua ni mbuyu wakatubishia

Now kunguru wamenyea mpaka rangi imepauka halafu mwakalebela ndio mbishi hashauriki labda saizi kwasabu kala pin
 
Back
Top Bottom