FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwani wanafunzi huwa wanafanya one on one competition na kila mwanafunzi? Au wanafanya mtihani wa jumla collectively kwa ngazi husika ya elimu at a go? Na hivyo uongozi unakuwa collective kwa ngazi husika ya elimuKwa hiyo mwaka jana walivyosema mwanafunzi kutoka mbeya kaongoza kitaifa kidato cha nne walikosea ilitakiwa waseme ameongoza darasa lake kwasababu hizo shule zingine hakusoma?