Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Ile rangi inawatosha ni juzi tu hapo tumewapa mtonyo kufanya service tukawashauri msipake marangi ya kijani maana kunguru watajua ni mbuyu wakatubishia

Now kunguru wamenyea mpaka rangi imepauka halafu mwakalebela ndio mbishi hashauriki labda saizi kwasabu kala pin
Yanga wanakarabati chumba kimoja million 6🤣🤣
 
Yanga wanakarabati chumba kimoja million 6🤣🤣
Juzi kocha wao wazamani aliyewaita manyani alishangazwa akasema mpaka sasa haelewi yanga wanataka nini

Mimi nilifukuzwa kwasababu timu ilikuwa inafungwa hovyo, wamepata kovha mwingine ambaye kawafanya waongoze ligi bila kufungwa lakini game ya mwisho walivyifungwa tu wakatimua benchi zima

Sasa yanga wanataka nini?
 
Mkuu watakusomea al badil kama huyo MALCOM LUMUMBA......kila comment lazima areact na haka ka emoji😡
 
Baba yangu ni bondia katika ngazi husika ya ubondia?
Ndo nacho kimaanisha hapa

Kwamba hata hizo club zinazohesabiwa kuwa ni bora kidunia sio lazima zicheze na club zoote na zishinde ili zihesabiwe kua ni bora ulimwenguni kote
 
Ndo nacho kimaanisha hapa

Kwamba hata hizo club zinazohesabiwa kuwa ni bora kidunia sio lazima zicheze na club zoote na zishinde ili zihesabiwe kua ni bora ulimwenguni kote
Nani kasema klabu zote? Nimesema klabu zilizopo katika makundi ya hatua husika, au naongea kiChina?
 
Nani kasema klabu zote? Nimesema klabu zilizopo katika makundi ya hatua husika, au naongea kiChina?
Nimekuelewa na ndio maana nimekujibu hivyo nikimaanisha kua sio lazima simba icheze na hizo timu zoote kwenye hayo magroup ili ihesabike bingwa
 
Nimekuelewa na ndio maana nimekujibu hivyo nikimaanisha kua sio lazima simba icheze na hizo timu zoote kwenye hayo magroup ili ihesabike bingwa
Ni lazima, maana zipo katika ngazi husika anayohusishwa kuongoza simba, huwezi kuongoza timu ambayo hujacheza nayo hata mara moja, na mpo katika michuano hiyo hiyo na katika hatua hiyo hiyo. Simba kaongoza kundi lake tu, makundi mengine yana viongozi wake.
 
Ni lazima, maana zipo katika ngazi husika anayohusishwa kuongoza simba, huwezi kuongoza timu ambayo hujacheza nayo hata mara moja, na mpo katika michuano hiyo hiyo na katika hatua hiyo hiyo. Simba kaongoza kundi lake tu.
Kwa hiyo mwaka jana walivyosema mwanafunzi kutoka mbeya kaongoza kitaifa kidato cha nne walikosea ilitakiwa waseme ameongoza darasa lake kwasababu hizo shule zingine hakusoma?
 
Back
Top Bottom