FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwani wanafunzi huwa wanafanya one on one competition na kila mwanafunzi? Au wanafanya mtihani wa jumla collectively kwa ngazi husika ya elimu at a go? Na hivyo uongozi unakuwa collective kwa ngazi husika ya elimuKwa hiyo mwaka jana walivyosema mwanafunzi kutoka mbeya kaongoza kitaifa kidato cha nne walikosea ilitakiwa waseme ameongoza darasa lake kwasababu hizo shule zingine hakusoma?
Kwani ligi hii imefanya competition wapi ya timu moja kucheza na kila timu kwenye kila group?Kwani wanafunzi huwa wanafanya one on one competion na kila mwanafunzi? Au wanafanya mtihani wa jumla collectively kwa ngazi husika ya elimu? Na hivyo uongozi unakuwa collective kwa ngazi husika ya elimu
Hii ni nyingi sana kumbuka robo tunapewa US$650,000
Wamefanya one on one competion na kila timu iliyo kwenye group lake, na ndio maana uongozi ni wa kwenye kundi lake, wanafunzi wanafanya collective exam, kama ni kwa nchi mzima au kanda, uongozi unakuwa wa nchi mzima au kandaKwani ligi hii imefanya competition wapi ya timu moja kucheza na kila timu kwenye kila group?
Basi na huku ndivyo ilivyo kua competition haina maana umchallenge kila mtu ili uonekane bora
Mchezaji anaweza kuwa kwenye ubora na akaachwa na timu sikwambii kwa Mkude ambae kiwango chake sio cha kucheza kimataifa kwa Simba ya sasa.Leo hamuoni umuhimu wake lakini kipindi cha nyuma ndo alikua anacheza, tujifunze kuthamini mchango wa mtu
Hivi lini mmefika tulipofika?Wamepigwa kimoja cha asubuhi walah
Anajua Nn?nyoni hajui mpira
Una uhakika hujakalia Ubongo wako wakati unaandika hivi??nyoni hajui mpira
Ahsante ,mod niliahidi kuleta updates nikasahau kabisa kuwa nilianzisha Uzi😂😂Dakika zote 90 ....midadi ilikuwa juu!Leo ndio leo!
Wanaume wa shoka wanakutana kutafuta Nani mbabe!...
Hapana,sio hivyo. Anayeendelea na michuano hapewi hadi atakapojikwaa na kuanguka ndio atakapopewa. Yaani kila stage unayoruka pesa yako inaongezeka....mf robo dola 650,000/= nusu fainali labda $980,000 fainali $5,000,000/= .Kila hatua unayooenda mbele ndo unasogelea donge nono.Hii ni nyingi sana kumbuka robo tunapewa US$650,000
Wamefanya one on one competion na kila timu iliyo kwenye group lake, na ndio maana uongozi ni wa kwenye kundi lake, wanafunzi wanafanya collective exam, kama ni kwa nchi mzima au kanda, uongozi unakuwa wa nchi mzima au kanda
Kwani wanafunzi huwa wanafanya one on one competition na kila mwanafunzi? Au wanafanya mtihani wa jumla collectively kwa ngazi husika ya elimu at a go? Na hivyo uongozi unakuwa collective kwa ngazi husika ya elimu
Maandamano na albadri ndiyo mkakati uliyopo kwa sasa.Mbona yanga hapo siioni wakati ni ya kimataifa?
Hii list ni feki
Ni kawaida ya mashabiki wa timu mbovu kuchambua na kuponda wenye timu bora.Sasa mbona CAF huwa wanatoa msimamo wa wote baada ya mechi zote kuchezwa, unajaribu kubisha kitu ambacho hakifai hata kubishaniwa.
Pole, mapenzi na timu huweza kukufanya ushindwe hata kula. Jikaze mwana. Mechi lazima ichezwe na matokeo yapatikane. Likikuangukia lipokee tu. Mimi niliamua kuachana na ushabiki baada ya kuona afya yangu inaharibika hasa wakati wa mechi za simba.Najikuta tu sina amani, ngoja tusubiri dakika 90
labda kuwaroga na kochaAnajua Nn?
sasa jana kucheza nini?Una uhakika hujakalia Ubongo wako wakati unaandika hivi??