Mmeanza, utulivu upi unaoutaka wakati mipira haifiki mbele? Tatizo kubwa la Simba ni kupoteza ovyo mipira.KAGERE anazurura mno.
Anaonekana kukosa utulivu kabisa
Na hilo ndo tatizo kubwa la Simba leo.Pasi hazifiki kwa walengwa kabisa
Kipimo tosha leo. Hafai huyu jamaaMkude ndani ya nyumba, tutaelewana kwanini tunasema lwanga ni bora zaidi.
Mkude hafai, anapoteza Sana pasiMkude ndani ya nyumba, tutaelewana kwanini tunasema lwanga ni bora zaidi.
Mkude ndani ya nyumba, tutaelewana kwanini tunasema lwanga ni bora zaidi.
Manula kakua sasa
Mkude ndani ya nyumba, tutaelewana kwanini tunasema lwanga ni bora zaidi.
YeahPengine Kocha kampumzisha Lwanga kwakuwa ana yellow cards 2 kuogopa asipate ya tatu akakosa mchezo wa Robo fainali ya kwanza. Hatuna haja ya kupanic after all hapa tunaweka heshima tu.
Yeah kadi, kama angecheza leo na akapata kadi yoyote ya njano, basi angeukosa mchezo wa kwanza wa Robo fainali.kwanini Lwanga hajacheza? ana kadi au?