Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Kahata au Mzamiru aingie, Mkude atolewe ikiwezekana msimu ujao aachwe tu akale ganja mitaa ya Kino.
 
Bila shaka natumaini kagere atajituma kwa hali na mali kumshawishi kocha kuwa yeye ni bora kuliko mugalu
Kagere hawezi mechi ambayo nafasi zinapatikana kwa nadra. Hana mchango Kabisa wakati Mpira uko kwa wapinzani! Atoke tu! Ameshindwa kutushawishi!
 
Mkude anapoteza mipira kwa kupiga vipasi vya ajabu.. Hakai kwenye eneo lake.
 
Hahahahaha, wewe lazima utakuwa ulikuwa unachezea Sengo, Ruaha au Lipuli !!!
Leo mtasingizia vyote na maji lazima myaite mma 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kahata au Mzamiru aingie,Mkude atolewe ikiwezekana msimu ujao aachwe tu akale ganja mitaa ya Kino.
Leo hamuoni umuhimu wake lakini kipindi cha nyuma ndo alikua anacheza, tujifunze kuthamini mchango wa mtu
 
Kumbuka Simba nao pia hawajazoea kucheza usiju kwenye bariki kali huko uarabuni au Hilo hulioni ila unajali wao tu kucheza kwenye jua kali.
 
nadhan leo tunaona umuhimu wa mugali.. huyu kagere anazurura sana.. mugali anakaa hapohapo golin kuwatia hofu mabeki wa kati
Imeicost Sana Simba goli la kwanza.

Cross ya goli la Al ahly imepigwa na beki.

KAGERE angetulia kule mbele, HAKUNA beki ingepanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…