Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Lwanga nakubaliana na wewe, ila kwa Mugalu hapana aiseeeh. Ngoja awekwe sub tuone unachokizungumzia..!Mugalu na Lwanga tunawamis leo aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lwanga nakubaliana na wewe, ila kwa Mugalu hapana aiseeeh. Ngoja awekwe sub tuone unachokizungumzia..!Mugalu na Lwanga tunawamis leo aisee
Kagere hawezi mechi ambayo nafasi zinapatikana kwa nadra. Hana mchango Kabisa wakati Mpira uko kwa wapinzani! Atoke tu! Ameshindwa kutushawishi!Bila shaka natumaini kagere atajituma kwa hali na mali kumshawishi kocha kuwa yeye ni bora kuliko mugalu
Hii match haina effect angecheza MugaluMugalu na Lwanga tunawamis leo aisee
Hahahahaha, wewe lazima utakuwa ulikuwa unachezea Sengo, Ruaha au Lipuli !!!Umenikumbusha chama langu la kitaa Iringa 90s huko. Mazoezi yanaanza saa kumi na moja na kwa Iringa kaubaridi tayari hapo. Sasa siku za mechi inaanza saa kumi na nusu jua Kali, ile half ya kwanza tunakuwa hoi kwa jua, hapo utakuta tushapigwa mbili au tatu. Baba second half ile saa kumi na moja kajua kamepoooa tunaanza chomoa moja hadi jingine mpaka tunashinda. Kwa hiyo hali ya hewa ni factor kubwa Sana kwwnye ushindi wa timu na maarab Kasi ni jadi yao sisi wanubi aka Mandingo tunacheza slow sana.
Mugalu yule tuliye mkataa wote kwenye mechi ya As vita au kuna mwingine?Tunamhitaji Mugalu na Mzamiru haraka alafu Bwalya leo hayuko vizuri
Mtasingizia vyote leo, 🤣 🤣 🤣 🤣!!!😡 😡 😡
Leo hamuoni umuhimu wake lakini kipindi cha nyuma ndo alikua anacheza, tujifunze kuthamini mchango wa mtuKahata au Mzamiru aingie,Mkude atolewe ikiwezekana msimu ujao aachwe tu akale ganja mitaa ya Kino.
Kuhusu Lwanga ulikua unataka waarabu walale kiza leo[emoji23]Mugalu na Lwanga tunawamis leo aisee
Kabisa.Pengo la Lwanga lipo wazi.. Nyoni na Mkude bure kabisa
Mkuu tumeshafuzu ujueMtasingizia vyote leo, 🤣 🤣 🤣 🤣!!!
Haya mimi na kocha tumekusikia ila sub ya Mugalu mtulie kwanza tujadiliKahata au Mzamiru aingie,Mkude atolewe ikiwezekana msimu ujao aachwe tu akale ganja mitaa ya Kino.
Kumbuka Simba nao pia hawajazoea kucheza usiju kwenye bariki kali huko uarabuni au Hilo hulioni ila unajali wao tu kucheza kwenye jua kali.Simba mechi za saa jua kali zinamsaidia sana kwenye mechi na waarabu.
Esperence, wydad, al ahly, zamalek ukimchezesha usiku hata kama taifa anakukimbiza kwa spidi sana.. waarabu spidi ndio strength yao.. na waafrica weusi jua kali kwenye mechi ndio strength
Atakayeshinda hii mechi anamgonga Yanga usiku kucha,unaelewa?!Mtasingizia vyote leo, 🤣 🤣 🤣 🤣!!!
Imeicost Sana Simba goli la kwanza.nadhan leo tunaona umuhimu wa mugali.. huyu kagere anazurura sana.. mugali anakaa hapohapo golin kuwatia hofu mabeki wa kati
Mugalu ni star wa Simba leo amepumzishwa asiumie.....ili kocha amtumie vema robo fainaliMugalu yule tuliye mkataa wote kwenye mechi ya as vita au kuna mwingine?