Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Kahata au Mzamiru aingie, Mkude atolewe ikiwezekana msimu ujao aachwe tu akale ganja mitaa ya Kino.
 
Bila shaka natumaini kagere atajituma kwa hali na mali kumshawishi kocha kuwa yeye ni bora kuliko mugalu
Kagere hawezi mechi ambayo nafasi zinapatikana kwa nadra. Hana mchango Kabisa wakati Mpira uko kwa wapinzani! Atoke tu! Ameshindwa kutushawishi!
 
Mkude anapoteza mipira kwa kupiga vipasi vya ajabu.. Hakai kwenye eneo lake.
 
Umenikumbusha chama langu la kitaa Iringa 90s huko. Mazoezi yanaanza saa kumi na moja na kwa Iringa kaubaridi tayari hapo. Sasa siku za mechi inaanza saa kumi na nusu jua Kali, ile half ya kwanza tunakuwa hoi kwa jua, hapo utakuta tushapigwa mbili au tatu. Baba second half ile saa kumi na moja kajua kamepoooa tunaanza chomoa moja hadi jingine mpaka tunashinda. Kwa hiyo hali ya hewa ni factor kubwa Sana kwwnye ushindi wa timu na maarab Kasi ni jadi yao sisi wanubi aka Mandingo tunacheza slow sana.
Hahahahaha, wewe lazima utakuwa ulikuwa unachezea Sengo, Ruaha au Lipuli !!!
Leo mtasingizia vyote na maji lazima myaite mma 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kahata au Mzamiru aingie,Mkude atolewe ikiwezekana msimu ujao aachwe tu akale ganja mitaa ya Kino.
Leo hamuoni umuhimu wake lakini kipindi cha nyuma ndo alikua anacheza, tujifunze kuthamini mchango wa mtu
 
Simba mechi za saa jua kali zinamsaidia sana kwenye mechi na waarabu.

Esperence, wydad, al ahly, zamalek ukimchezesha usiku hata kama taifa anakukimbiza kwa spidi sana.. waarabu spidi ndio strength yao.. na waafrica weusi jua kali kwenye mechi ndio strength
Kumbuka Simba nao pia hawajazoea kucheza usiju kwenye bariki kali huko uarabuni au Hilo hulioni ila unajali wao tu kucheza kwenye jua kali.
 
nadhan leo tunaona umuhimu wa mugali.. huyu kagere anazurura sana.. mugali anakaa hapohapo golin kuwatia hofu mabeki wa kati
Imeicost Sana Simba goli la kwanza.

Cross ya goli la Al ahly imepigwa na beki.

KAGERE angetulia kule mbele, HAKUNA beki ingepanda.
 
Back
Top Bottom