Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Mchezaji anaweza kuwa kwenye ubora na akaachwa na timu sikwambii kwa Mkude ambae kiwango chake sio cha kucheza kimataifa kwa Simba ya sasa.
Wachezaji wa kuachwa na Simba wa kwanza ni Dilunga akifuatiwa na Mkude...
Tumpe heshima yake Mkude
 
Ni lazima, maana zipo katika ngazi husika anayohusishwa kuongoza simba, huwezi kuongoza timu ambayo hujacheza nayo hata mara moja, na mpo katika michuano hiyo hiyo na katika hatua hiyo hiyo. Simba kaongoza kundi lake tu, makundi mengine yana viongozi wake.
Kwamba Bayern Munich sio bingwa wa ulaya sababu ajacheza na everton n.k

Kwamba Bayern Munich sio bingwa wa vilabu duniani sababu ajacheza na simba anaitwaje bingwa wa vilabu duniani?

Kwamba France sio bingwa wa kombe la dunia sababu ajacheza na tanzania utamuitaje bingwa wa dunia
Kwamba alyhaly sio bingwa wa Africa sababu ajacheza na Yanga
Ahaaaa jamani eheee kuna vitu sio vya kubisha ndugu zanguni

saiz simba bingwa wa tz sasa atakiwi kuitwa bingwa wa tz sababu ajacheza na njombe mji au mbeya road au na majimaji kahaaaa kiujumla ajacheza na timu zote za tz atakiwa kuitwa bingwa wa tz!!! du
 
Kwamba Bayern Munich sio bingwa wa ulaya sababu ajacheza na everton n.k

Kwamba Bayern Munich sio bingwa wa vilabu duniani sababu ajacheza na simba anaitwaje bingwa wa vilabu duniani?...
Taratibu, nifahamishe kwanza nijue, everton alishiriki katika ligi ya klabu bingwa ulaya iliyompa huyu Munich ubingwa? Ukisoma ulichoquote utaona nimeandika “...michuano hiyo hiyo na katika hatua hiyo hiyo....”

kama Everton alishiriki klabu bingwa ya ulaya, na akaweza na kufika katika ngazi ile ile iliyokuja kumpa ubingwa Munich (maana yake fainali) halafu Munich akawa hajacheza na everton (kitu ambachao hakiwezekani, otherwise angechukuaje ubingwa?), then Munich hawezi kuwa bingwa wa ulaya.
 
Nimekuelewa na ndio maana nimekujibu hivyo nikimaanisha kua sio lazima simba icheze na hizo timu zoote kwenye hayo magroup ili ihesabike bingwa
We jamaa akili za wap hizo ili haliwezekan katika hii ligi huwez cheza na Tim zote na Uta kuwa bingwa

Mfano robo kuta kuwa na mech nne zenye jumla ya Tim nane katika iyo stage simba Ata cheza mechi moja tuu na kifup kila Tim itacheza mechi moja yenye dk 180 Yan 90 home and 90 away and there for.. Kwa utaratbu huu hapo Kuna Tim nne zitapita na nne zita toka Sasa uyo bingwa Ata cheza nao wap Hao watakao toka??
 
Mugalu yule tuliye mkataa wote kwenye mechi ya As vita au kuna mwingine?
Mugalu ana mchango mkubwa kwenye kutengeneza nafasi, kumiliki mpira wakati wengine wakitafuta nafasi na kwenye kuutafuta mpira kama wanao adui!
Kagere kwenye kutafuta mpira ni sifuri, kwenye kumiliki Moira miguuni ni kidogo mno! Kagere ni mzuri mechi ambayo mmetawala mpira! Nadhani Kagere amejiridhisha na sababu kwa nini kocha hsmpi nafasi kwenye mechi kubwa! Hii mechi ingekuwa ni ya kutafuta nafasi ya kusonga mbele Kagere angechezea benchi!
 
Mwisho wa siku ..wote wenye akili Timamu wanakubaliana kuwa Simba imepiga Hatua kubwa !
 
Ni lazima, maana zipo katika ngazi husika anayohusishwa kuongoza simba, huwezi kuongoza timu ambayo hujacheza nayo hata mara moja, na mpo katika michuano hiyo hiyo na katika hatua hiyo hiyo. Simba kaongoza kundi lake tu, makundi mengine yana viongozi wake.
Subiri baada ya mechi za Leo caf wataweka mkeka Wa timu zote na Simba itakuwa pale juu Kabisa!
 
Mamelods baada ya kupigwa goli 2 goal difference yao in 6. Kwa sasa goal difference ya Simba ni 7. Kwa hiyo Simba iko juu ya timu zote tunapoelekea robo fainali.
Mkuu hiyo timu iliyoifunga Mamelods 2 -0 inanipa Presha ,vipi ikikutana na Simba hebu elezea kidogo.
 
Back
Top Bottom