Dakika 45'
Al Ahly SC 0 - 1 AS Vita Club
Helwaa kurupushani za juhudi za Al Ahly mpaka sasa zimeshindwa kufumania nyavu za AS Vita
Timu zinakwenda mapumbizo na super kocha Flores Ebenge wa AS Vita na wachezaji wake wanakwenda vyumbani wakiwa kifua mbele.
Wachezaji wa Ahly nao wanaenda mapumziko huku baadhi yao wakibusu pitch ya wanja hili la Cairo International stadium kutoa shukrani kwa Munyazi Mungu, baada ya kukoswa kufungwa bao lingine dakika hii ya 45' wakati Muyamba wa AS Vita akiwa uso kwa uso na kapteni wa Al Alhy golikipa Mohamed El-Shenawy mchezaji bora wa Al Ahly wa wiki hii.