Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

GOAL GOAL GOAL

Dakika 69'
Waheed waheed albadir maombi yameitika ya mashabiki wa
Al Ahly SC 2 - 21AS Vita Club



Wamebanaaaaaaaaaaaaaa
Saiv wameachia maaamaaae yaan hao watoe sare ili tuzidi kujikita kileleni
 
Aisee huu ni msala na tuombe sana tusikutana nao huko

Tukipata sare kwao hawa al ahly basi hata kombe tutabeba
Hapa wa kupigwa ni Al Merrick na Vita hata kadroo tu. Hawa Al Ahl majaliwa yake mola
 
GOAL GOOAL ! MULENGAAAA
Dakika 79'
Penati wanapata AS Vita Club, baada ya kuangushwa kwa mchezaji ndani ya box na bila ajizi Mulenga hafanyi makosa. Taharuki hapa uwanjani ktk hadhira ya Al Ahly

AL Ahly SC 2 - 2 AS Vita Club

 
Back
Top Bottom