Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Nyinyi na ubovu wenu mmepata mawili. Sisi wale tutabonda kwa mkapa tukienda kwao ndio wataamua wenyewe. Ila nakuhakikishia kuna mwarabu mmoja kati ya wale wawili anaenda kufa kwake dhidi ya YangaMkipata hata on target nawashauri mfanye parade
Yanga hii ianyoenda kuwa ya mwisho kwenye kundi π€£π€£π€£π€£Hiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.
Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.
Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.
Subirini.
Tulikutungua ww afu unatuialta wabovum al ahly sio kina zalan wewe utakandwa mpaka ukija kustuka unaburuza mkia kwenye kundiNyinyi na ubovu wenu mmepata mawili. Sisi wale tutabonda kwa mkapa tukienda kwao ndio wataamua wenyewe. Ila nakuhakikishia kuna mwarabu mmoja kati ya wale wawili anaenda kufa kwake dhidi ya Yanga
Kundi sio mechi ya mtoanoYanga iko kundi moja na Al Ahly kwa Cafcl.
Umefungwa na Ihefu ukamfunge Al Ahly unaota?Nyinyi na ubovu wenu mmepata mawili. Sisi wale tutabonda kwa mkapa tukienda kwao ndio wataamua wenyewe. Ila nakuhakikishia kuna mwarabu mmoja kati ya wale wawili anaenda kufa kwake dhidi ya Yanga
Kwa hiyo kufungwa na timu fulani ndio sababu nisiifunge timu fulani? Are you normal!!Umefungwa na Ihefu ukamfunge Al Ahly unaota?
Tatizo sio kufungwa na timu fulaniKwa hiyo kufungwa na timu fulani ndio sababu nisiifunge timu fulani? Are you normal!!
Mkuu wewe hujawahi kufungwa na kibonde yoyote? Refer Mashujaa na Green Warriors halafu angalia sahivi unazungumza niniTatizo sio kufungwa na timu fulani
Hiyo timu fulani iliyokufunga ni kibonde halafu unaweka mategemeo ya kumfunga Big fish kama Al Ahly huo si utani huo?
Yule humfungi hata kwa dawa iwe hata mechi ingekuwa avic townUyo unayemuona ni mgumu kwako anakwenda kukalishwa na mziki wa Yanga mnaujua vizuri isipokuwa mnajitoaga ufahamu lakini mtakubali mtake msitake
Baada ya hapo nilikutana na timu gani ambayo ni giant afu nikaifunga?Mkuu wewe hujawahi kufungwa na kibonde yoyote? Refer Mashujaa na Green Warriors halafu angalia sahivi unazungumza nini
Wapi sasa,hajui chochote!π πAFL na CAFCL ni michuano tofauti wewe Utopolo.
Simba yupo mtoano AFL, Yanga atakua group stage CAFCL, upo!?
Michuano aliyopo Simba AFL Yanga ammo ila michuano ya CAFCL Simba yumo. sijui umeelewa mwana Uto?
Nakwenye tabiri zako haujawai kufeli...... nakukubali kwenye hilo.Hiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.
Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.
Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.
Subirini.
Tatizo kipindi Nadir harub " Canavaro" anawafanya kitu mbaya hao Al-ahal, ulikua bado ni mtoto mdogo, sikulaumu kwenye hilo.Mkipata hata on target nawashauri mfanye parade
Unajua hayo mashindano yanaendeshwaje? Hapo kuna mtoano na makundi, hebu kapitia notsi tena ndio urudi.Hiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.
Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.
Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.
Subirini.
Una njaa.Wapi sasa,hajui chochote!π π