Pengine awe specific tujifunze nini? Au mtani ana maanisha kuwatumia kina SANGOMA?Uongo wangu nini? Mechi na power dynamos mliwafunga? Si simba alitoka 2-2 ugenini akaja kutoka 1-1 nyumbani na jama mmetoa sare na Al ahly zinakuwa ngapi? Yaani sisi tujifunze kwa watoa sare? Nyie pambaneni na hali zenu kimsingi sisi tumecheza fainali za shirikisho na tunamtafta mwzi kimya kimya caf champions league
Kwa makolo kutoa sare ni level kubwa mno!Miaka 100 kwako wewe kolo sisi tunakiwasha tu waulize USM Alger watakueleza mbane wa Al Ahly yaani wewe kubutua butua na kupata sare uliyonusurika kufungwa ndio levels???
Kumbe al alhy wanashinda mechi kwa bahatiIyo Copy ya Ahly waliyo wapeleka nayo mchakamchaka ni copy ya miaka ya 80/90 ya Yanga.
Viungo wawili wa boli na mawinga wawili wenye spidi ya radi.
Tuliwafunga simba kwa muda mrefu sana.
Yaani nimeona Ahly wameirudia na walikosa bahati tu kushinda mechi.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huwa wananitafutaga Wenyewe sasa ngoja niwanyooshe. Watu kutwa Wanakiri hapa JamiiForums kuwa hawanipendi na wananichukia GENTAMYCINE ila ndiyo hao hao wanashinda Kusoma Threads zangu hapa.Jenta kaja na mada nzuri shida kubwa hawa MWIKO nyuma fc wamejaa chuki
Hujalazimishwa kuchukua ushauri wake, shupazeni shingo Al Ahly atawapasueni hamtaamini.Ila mashabiki wa simba mnapenda sana kujisifu na vitu vya kijinga. Yanga hana cha kukifunza kutoka simba waarabu ameshacheza nao wakiwemo hao Al Ahly na kuwafunga. Kwahiyo hizo porojo hazina manufaa. Wapumbavu wengi wakiwemo wachambuzi ingekuwa sare ametoka yanga saa hzi huon hzi sifa bali kuwaponda yanga. Refer Oruma last season kwenye confederation. Kwahyo we mwanamke nakuambia simba hawana jipya zaidi ya porojo. Katika mechi za 3 za mwishoza kimataifa msimu huu Simba hajashinda mechi yoyote zaidi ya kutoa sare. Ilihali yanga ameshinda mechi 2 zote za mwisho sasa nani anapswa kujifunza kwa mwenzie?
Ball la jana ndio unona ndio best performance kwako ila kiuhalisia ndio performance mbovu ya Simba kupita misimu yote, kwasababu mmeshindwa kumfunga Al Ahly kwa Mkapa kama ilivyo desturi yenu.Mzee mbona unaongea huku unaogopa.... ball la jana kila mtu kaona, itaitaitajika miaka 100 ili levels za jana zifikiwe na kilabu chochote Africa mashariki na kati.
Mipasho ukidai nawe unaongea mpira.Timu pekee itakayoleta heshima Tanzania ni yanga, utake usitake ndio ivyo, Tofautisha kucheza kwa morali au kukamia na kucheza kiufundi,
Tofautisha kuwa na kikosi Bora na kuwa na Bora kikosi Cha unga unga mwana!
Mechi ya Jana mumshukuru sangoma wenu alifanya kazi yake vizuri na sio eti ni uwezo wa Simba, Uwezo wa kumtoa Aly Ahly kwao ni sawa na kujitekenya na kucheka mwenyewe, uku mmesaidiwa na Mganga vipi kule mtaenda nae? Na vipi wao watawaruhusu mfanye ujinga wenu kwao? Majibu unayo!
Ukiwa na kikosi kilichosheheni vibabu alafu uvichezeshe mechi ngumu mbili mfululizo ndani ya siku 4 Tena vikiwa vimesafiri safari ndefu nafikiri jibu unalo kinachoenda kutokea na sub zako ndio hao kina john boko apo patamu!
Kamalizaneni nao kwanza Cairo ndiio mlenge ngonjera zenuHujalazimishwa kuchukua ushauri wake,shupazeni shingo Al Ahly atawapasueni hamtaamini.
"Matches tatu za kimataifa"Wewe Jamaa upo Tanzania kweli? Una uhakika Simba katoa sare kwenye match tatu za Mwisho. Acha uongo, huyu GENTAMYCIME kachambua vizuri hajangalia upande hata mmoja.
Kwani ninyi mmeshinda mechi 2 Simba hajawahi kushinda mechi mbili kuingia makundi? Jitahidi kuongea vizuri brother ,unataka kuniambia kwa kuwa Yanga kafungwa mechi 1 home hapa basi Yanga ajifunze kwa Simba na kwamba Simba hana cha kujifunza kwa Yanga kisa Yanga game 1 kaloose?Ila mashabiki wa simba mnapenda sana kujisifu na vitu vya kijinga. Yanga hana cha kukifunza kutoka simba waarabu ameshacheza nao wakiwemo hao Al Ahly na kuwafunga. Kwahiyo hizo porojo hazina manufaa. Wapumbavu wengi wakiwemo wachambuzi ingekuwa sare ametoka yanga saa hzi huon hzi sifa bali kuwaponda yanga. Refer Oruma last season kwenye confederation. Kwahyo we mwanamke nakuambia simba hawana jipya zaidi ya porojo. Katika mechi za 3 za mwishoza kimataifa msimu huu Simba hajashinda mechi yoyote zaidi ya kutoa sare. Ilihali yanga ameshinda mechi 2 zote za mwisho sasa nani anapswa kujifunza kwa mwenzie?
Simba kaingia makundi bila kushinda mechi, kiufupi msimu huu hajashinda mechi yoyote ya kimataifa ya kimashindanoKwani ninyi mmeshinda mechi 2 Simba hajawahi kushinda mechi mbili kuingia makundi? Jitahidi kuongea vizuri brother ,unataka kuniambia kwa kuwa Yanga kafungwa mechi 1 home hapa basi Yanga ajifunze kwa Simba na kwamba Simba hana cha kujifunza kwa Yanga kisa Yanga game 1 kaloose?
Kwanza kwenye CAFCL Yanga imeshinda mechi nyingi kuliko Simba musimu yote?
Mnaumia saaana na bado mwaka wa.mateso kwenu huuKamalizaneni nao kwanza Cairo ndiio mlenge ngonjera zenu