Al Ahly FC Wametufundisha Mpira, Bahati ilitubeba ila marekebisho yafuatayo yakifanyika Simba SC inaweza Kuwatoa AFL tarehe 24 Oktoba,2023

Al Ahly FC Wametufundisha Mpira, Bahati ilitubeba ila marekebisho yafuatayo yakifanyika Simba SC inaweza Kuwatoa AFL tarehe 24 Oktoba,2023

Uongo wangu nini? Mechi na power dynamos mliwafunga? Si simba alitoka 2-2 ugenini akaja kutoka 1-1 nyumbani na jama mmetoa sare na Al ahly zinakuwa ngapi? Yaani sisi tujifunze kwa watoa sare? Nyie pambaneni na hali zenu kimsingi sisi tumecheza fainali za shirikisho na tunamtafta mwzi kimya kimya caf champions league
Pengine awe specific tujifunze nini? Au mtani ana maanisha kuwatumia kina SANGOMA?
Hivi goal la ugenini linatumika kuondoa tie AFL?
 
Iyo Copy ya Ahly waliyo wapeleka nayo mchakamchaka ni copy ya miaka ya 80/90 ya Yanga.
Viungo wawili wa boli na mawinga wawili wenye spidi ya radi.
Tuliwafunga simba kwa muda mrefu sana.
Yaani nimeona Ahly wameirudia na walikosa bahati tu kushinda mechi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kumbe al alhy wanashinda mechi kwa bahati
 
Jenta kaja na mada nzuri shida kubwa hawa MWIKO nyuma fc wamejaa chuki
Huwa wananitafutaga Wenyewe sasa ngoja niwanyooshe. Watu kutwa Wanakiri hapa JamiiForums kuwa hawanipendi na wananichukia GENTAMYCINE ila ndiyo hao hao wanashinda Kusoma Threads zangu hapa.

Ni Wapumbavu kabisa.
 
Ila mashabiki wa simba mnapenda sana kujisifu na vitu vya kijinga. Yanga hana cha kukifunza kutoka simba waarabu ameshacheza nao wakiwemo hao Al Ahly na kuwafunga. Kwahiyo hizo porojo hazina manufaa. Wapumbavu wengi wakiwemo wachambuzi ingekuwa sare ametoka yanga saa hzi huon hzi sifa bali kuwaponda yanga. Refer Oruma last season kwenye confederation. Kwahyo we mwanamke nakuambia simba hawana jipya zaidi ya porojo. Katika mechi za 3 za mwishoza kimataifa msimu huu Simba hajashinda mechi yoyote zaidi ya kutoa sare. Ilihali yanga ameshinda mechi 2 zote za mwisho sasa nani anapswa kujifunza kwa mwenzie?
Hujalazimishwa kuchukua ushauri wake, shupazeni shingo Al Ahly atawapasueni hamtaamini.
 
Mzee mbona unaongea huku unaogopa.... ball la jana kila mtu kaona, itaitaitajika miaka 100 ili levels za jana zifikiwe na kilabu chochote Africa mashariki na kati.
Ball la jana ndio unona ndio best performance kwako ila kiuhalisia ndio performance mbovu ya Simba kupita misimu yote, kwasababu mmeshindwa kumfunga Al Ahly kwa Mkapa kama ilivyo desturi yenu.

Jambo la pili ni kwamba Al Ahly wanapokuwa away hawafanyi makubwa sana sana cha kwanza kwao ni kutafuta sare na kama itashindikana basi wafungwe kwa goli chache.
Takwimu ya Al Ahly ugenini sio nzuri ni mara chache sana kushinda
 
Timu pekee itakayoleta heshima Tanzania ni yanga, utake usitake ndio ivyo, Tofautisha kucheza kwa morali au kukamia na kucheza kiufundi,
Tofautisha kuwa na kikosi Bora na kuwa na Bora kikosi Cha unga unga mwana!
Mechi ya Jana mumshukuru sangoma wenu alifanya kazi yake vizuri na sio eti ni uwezo wa Simba, Uwezo wa kumtoa Aly Ahly kwao ni sawa na kujitekenya na kucheka mwenyewe, uku mmesaidiwa na Mganga vipi kule mtaenda nae? Na vipi wao watawaruhusu mfanye ujinga wenu kwao? Majibu unayo!
Ukiwa na kikosi kilichosheheni vibabu alafu uvichezeshe mechi ngumu mbili mfululizo ndani ya siku 4 Tena vikiwa vimesafiri safari ndefu nafikiri jibu unalo kinachoenda kutokea na sub zako ndio hao kina john boko apo patamu!
Mipasho ukidai nawe unaongea mpira.

NB: Al Ahly watakuwa tena kwa Mkapa siku so nyingi. Akiba ya maneno Ni muhimu Sana.
 
Tatizo kocha hayafanyii kazi maoni ya wadau Bali anashindana na maoni ya wadau....huko misri Boko atavaa kitambaa Cha unahoza, ili tu kutukera wadau. SIMBA INA TIMU NZURI TATIZO KOCHA HAWEZI KUPANGA KIKOSI.
 
Mchezaji anajua kabisa anaocheza nao Ni Al Ahly ila mwanzo mwisho anakua mvivu kufanya pressing…baadhi ya wachezaji wa Simba wanachekesha sana[emoji23]
 
Ila mashabiki wa simba mnapenda sana kujisifu na vitu vya kijinga. Yanga hana cha kukifunza kutoka simba waarabu ameshacheza nao wakiwemo hao Al Ahly na kuwafunga. Kwahiyo hizo porojo hazina manufaa. Wapumbavu wengi wakiwemo wachambuzi ingekuwa sare ametoka yanga saa hzi huon hzi sifa bali kuwaponda yanga. Refer Oruma last season kwenye confederation. Kwahyo we mwanamke nakuambia simba hawana jipya zaidi ya porojo. Katika mechi za 3 za mwishoza kimataifa msimu huu Simba hajashinda mechi yoyote zaidi ya kutoa sare. Ilihali yanga ameshinda mechi 2 zote za mwisho sasa nani anapswa kujifunza kwa mwenzie?
Kwani ninyi mmeshinda mechi 2 Simba hajawahi kushinda mechi mbili kuingia makundi? Jitahidi kuongea vizuri brother ,unataka kuniambia kwa kuwa Yanga kafungwa mechi 1 home hapa basi Yanga ajifunze kwa Simba na kwamba Simba hana cha kujifunza kwa Yanga kisa Yanga game 1 kaloose?

Kwanza kwenye CAFCL Yanga imeshinda mechi nyingi kuliko Simba musimu yote?
 
Simba kaingia makundi bila kushinda mechi, kiufupi msimu huu hajashinda mechi yoyote ya kimataifa ya kimashindano
 
Back
Top Bottom