Al Ahly FC Wametufundisha Mpira, Bahati ilitubeba ila marekebisho yafuatayo yakifanyika Simba SC inaweza Kuwatoa AFL tarehe 24 Oktoba,2023

Al Ahly FC Wametufundisha Mpira, Bahati ilitubeba ila marekebisho yafuatayo yakifanyika Simba SC inaweza Kuwatoa AFL tarehe 24 Oktoba,2023

Ila mashabiki wa simba mnapenda sana kujisifu na vitu vya kijinga. Yanga hana cha kukifunza kutoka simba waarabu ameshacheza nao wakiwemo hao Al Ahly na kuwafunga. Kwahiyo hizo porojo hazina manufaa. Wapumbavu wengi wakiwemo wachambuzi ingekuwa sare ametoka yanga saa hzi huon hzi sifa bali kuwaponda yanga. Refer Oruma last season kwenye confederation. Kwahyo we mwanamke nakuambia simba hawana jipya zaidi ya porojo. Katika mechi za 3 za mwishoza kimataifa msimu huu Simba hajashinda mechi yoyote zaidi ya kutoa sare. Ilihali yanga ameshinda mechi 2 zote za mwisho sasa nani anapswa kujifunza kwa mwenzie?
Umempiga kwenye mshono Hili popoma la musoma ,mara
 
Hivi hii ligi ni ya kusaka point au ni ya mtoano ?

Hebu funguka muraa.
Japo umeuliza Kinafiki na kwa Kunisanifu nikiamini Jibu unalo huku ukitegemea nitakujibu vibaya ila kwa kulijua hilo sasa nakujibu Kistaarabu tu kuwa Mashindano haya ni ya Mtoano na si ya Alama.
 
Umempiga kwenye mshono Hili popoma la musoma ,mara
Naona kwa sasa ID ya LIKUD imepumzishwa. Kuna Watu ni Wapumbavu sana japo mnajifanya ni Wajanja na mna Akili.

Hiki Kiingereza chako Kibovu, cha kutia Aibu na Kilichokuaibisha ulichokurupuka na Kujitutumua Kukiandika / Kuniandikia 'Wordsmith" Mimi GENTAMYCINE cha "Otherwise these is absolutely rubbish" ulijifunzia wapi?
 
Naona kwa sasa ID ya LIKUD imepumzishwa. Kuna Watu ni Wapumbavu sana japo mnajifanya ni Wajanja na mna Akili.

Hiki Kiingereza chako Kibovu, cha kutia Aibu na Kilichokuaibisha ulichokurupuka na Kujitutumua Kukiandika / Kuniandikia 'Wordsmith" Mimi GENTAMYCINE cha "Otherwise these is absolutely rubbish" ulijifunzia wapi?
Wewe Ni rubbish pointless
 
Wewe Ni rubbish pointless
Hiki Kiingereza chako Kibovu, cha kutia Aibu na Kilichokuaibisha ulichokurupuka na Kujitutumua Kukiandika / Kuniandikia 'Wordsmith" Mimi GENTAMYCINE cha "Otherwise these is absolutely rubbish" ulijifunzia wapi Moron and Bipolar Case Mmoja Wewe?
 
Ukibisha unataka tu Kubisha ila Al Ahly FC wako dunia yao Kimpira kwani Wanajua na wataendelea Kuujua kutokana na Kujipanga Kwao katika kila Sekta.

Kama si bahati jana ( na nahisi hata Babu yetu wa Kiutamaduni namaanisha Mganga wa Kienyeji ) alitusaidia mno kwani tulikoswakoswa zaidi ya mara Nne Kipindi cha Kwanza na kama yote yale yangeingia na ukajumlisha na Mawili yao Matokeo yangekuwa ni 6 - 2 na Shughuli ingeishia hapa hapa Benjamin Mkapa Stadium Dar es Salaam Tanzania.

Hata hivyo Simba SC nao wamejitahidi kuonyesha kuwa katika Ukanda huu hakuna wa Kuwafikia na nitashangaa kuona Timu zingine Kubwa za huu Ukanda zisipojifunza kutoka kwa Simba SC kwani Kucheza na Vilabu Vikubwa Barani Afrika ( tena kutoka kwa Waarabu ) na Kuwamudu Kimatokeo si Kitu chepesi bali Maandalizi ya uhakika pamoja na Kujipanga kunahitajika sana.

GENTAMYCINE nasema endapo tu Wachezaji wa Simba SC wakiamua Kucheza Mpira wa pamoja, kuepuka Makosa ya Kitoto, kupunguza Papara, Concetration na Marking yao ikiwa ni ya 100%, wasipotegeana na kuwa Wavivu nina uhakika Jumanne ( tarehe 24 Oktoba, 2023 ) Simba SC inaenda Kuitoa Al Ahly FC katika Mashindano haya ya AFL huko huko Kwao nchini Misri.

Pongezi nyingi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kujitahidi kujitoa Kuipambania Klabu ili Mapungufu yafanyiwe Kazi upesi, wasilaumiane, watiane moyo, wajiamini kwani dalili za Simba SC kuwatoa Al Ahly FC huko Kwao katika Mechi ya marudiano naziona na Afrika pamoja na Dunia haitoamini.

Ina maana wewe ndiyo unaijua Al Ahly leo? Si karibu kila msimu huwa inakuja kucheza na Simba hapa Dar? Au ni Al Ahly ipi unayoisema wewe ambayo pengine sisi wengine hatuijui?
 
Back
Top Bottom