Uwezo wao vip ukilinganisha na mnyamaMpira ni mapumziko bila bila, Vitali wanaenda mapumzikoni wakiwa na kadi nyekundu.
Alikuwa ni mtu wa mwisho yule. Pamoja na As Vital kuwa pungufu na kuwa ugenini lakini wamejitahidi kukaza waarabu hawaamini kwa kipindi hiki cha kwanza kuisha pasipo kupata goli. Mechi nzuri bado As Vital wameonesha ukakamavu wa kupata matokeo ya ushindi au hata sare. Ngoja tuone kitakachojili kipindi cha piliMpaka sasa ni dakika 45 za kwanza zinakaribia kuisha mechi ni bila bila, ila As Vital wameshalimwa kadi nyekundu yenye utata.
Hawa waarabu ni hatari kwa fitina.
Mpaka sasa ni dakika 45 za kwanza zinakaribia kuisha mechi ni bila bila, ila As Vital wameshalimwa kadi nyekundu yenye utata.
Hawa waarabu ni hatari kwa fitina.
Acha kumfanya mwarabu Kama Mungu.Hao ndio watakaopita.......sio hawa kina SUMBULA waliocheza leo hapa kwa wazaramo... mwarabu anafungwa tatu????.. mwarabuuuuu au towashi huyo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini si uliona jamaa alivyojirusha kama amegongana na kiberenge.Alikuwa ni mtu wa mwisho yule. Pamoja na As Vital kuwa pungufu na kuwa ugenini lakini wamejitahidi kukaza waarabu hawaamini kwa kipindi hiki cha kwanza kuisha pasipo kupata goli. Mechi nzuri bado As Vital wameonesha ukakamavu wa kupata matokeo ya ushindi au hata sare. Ngoja tuone kitakachojili kipindi cha pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka Vital amechukua kombe la shirikisho mara mfululizo na waarabu kibao wakiwemo....
Hahaaa kiongozi hata ungekuwa wewe ungejirusha vilevile, mpira ni pamoja mbinu za udanganyifu. Yule mchezaji alikuwa anatafuta penati pia.Lakini si uliona jamaa alivyojirusha kama amegongana na kiberenge.