TOEDSLOTH
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 781
- 1,489
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kongole, nimependa bandiko lako, bila kujali ushabiki umesema vema sanaHawa wanaocheza saizi karibia wote ni wepesi na wana kasi japo mwarabu anakasi Zaidi...
Simba kuchomoza katikati ya hawa wawili afanye kazi ya ziada, maana hawa wote wanampira wa kasi sana.
We jamaa hii avatar yako inanifurahishaga sana.
Wakawaida tu, sijaona wa kutisha tena hawa Al Ahly naona hawana accurace shot nyingi zinapaa tu, tena As vita wapo pungufuUwezo wao vip ukilinganisha na mnyama
Kwani Mwarabu anamiguu nane! Vyura mnapenda kujifanya inferior ndio mana Mwarabu anawapapasa kila siku..Hao ndio watakaopita.......sio hawa kina SUMBULA waliocheza leo hapa kwa wazaramo... mwarabu anafungwa tatu????.. mwarabuuuuu au towashi huyo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza ukali wa manenoKwani Mwarabu anamiguu nane! Vyura mnapenda kujifanya inferior ndio mana Mwarabu anawapapasa kila siku..
Kama wabovu wasingefika hapo team mbovu mbovu ziko hukooo zinapelekana kisutu huku wanaume wa kazi wakicheza mechi tatu mfululizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza ukali wa maneno
Dstv hawachambui labda Azam kupitia ZBC 2.Hivi ni nani ana rights za kuonyesha hizi mechi?mashindano makubwa ya klabu barani africa mechi ipo halftime hamna uchambuzi wa highlights..kweli bado tupo nyuma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dstv hawachambui labda Azam kupitia ZBC 2.