Al Ahly vs As Vital live update.

Al Ahly vs As Vital live update.

Hawa wanaocheza saizi karibia wote ni wepesi na wana kasi japo mwarabu anakasi Zaidi...

Simba kuchomoza katikati ya hawa wawili afanye kazi ya ziada, maana hawa wote wanampira wa kasi sana.
Mkuu kongole, nimependa bandiko lako, bila kujali ushabiki umesema vema sana

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
56" dak mpira bado ni bila bila japo Mwarabu ndio anashambulia zaidi
 
Msimamo kundi la Simba mpaka sasa
20190112_231631.jpeg
 
Hao ndio watakaopita.......sio hawa kina SUMBULA waliocheza leo hapa kwa wazaramo... mwarabu anafungwa tatu????.. mwarabuuuuu au towashi huyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mwarabu anamiguu nane! Vyura mnapenda kujifanya inferior ndio mana Mwarabu anawapapasa kila siku..

Kama wabovu wasingefika hapo team mbovu mbovu ziko hukooo zinapelekana kisutu huku wanaume wa kazi wakicheza mechi tatu mfululizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Mwarabu anamiguu nane! Vyura mnapenda kujifanya inferior ndio mana Mwarabu anawapapasa kila siku..

Kama wabovu wasingefika hapo team mbovu mbovu ziko hukooo zinapelekana kisutu huku wanaume wa kazi wakicheza mechi tatu mfululizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza ukali wa maneno
 
Hivi ni nani ana rights za kuonyesha hizi mechi?mashindano makubwa ya klabu barani africa mechi ipo halftime hamna uchambuzi wa highlights..kweli bado tupo nyuma sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita wako pungufu lakini wanaonyesha uhai wa hali ya juu wanaweza kupata goli
 
Back
Top Bottom