Al Ahly vs As Vital live update.

Al Ahly vs As Vital live update.

Dak 75 Mwarabu bado anaongoza kwa goli moja
 
Dak 75 Mwarabu bado anaongoza kwa goli moja

Halafu inaonekana huwapendi waarabu. Kwanini usitumie jina "al ahly" mpaka useme mwarabu!
Je nao wakisema mwafrika anaongoza goli moja utapendezewa?
Mungu wabariki al ahly
Mungu wabariki Yanga
 
Goooooooo dakika 79 penalt
Al alhy 2-0 Vital

Duh refa mnyama huyu.!
 
Halafu inaonekana huwapendi waarabu. Kwanini usitumie jina "al ahly" mpaka useme mwarabu!
Je nao wakisema mwafrika anaongoza goli moja utapendezewa?
Mungu wabariki al ahly
Mungu wabariki Yanga
Kwani toka lini waarabu wakawapenda wamatumbi, dada zenu si wananing'inizwa huku uarabuni kila siku maghorofani .....

Halafu usinitoe kwenye mstari
 
Acha chuki dhidi ya waarabu,watu weusi cjui huwa 2namatatizo gani. Vita co wa hapa kwetu lakini utawashabikia kwakuwa wanacheza na waarabu. Acheni chuki ndugu zangu

Al ahali 2 0 wanyampala

God bless al ahali
Kuwatetea waarabu huku sio bure.!
 
Kwani toka lini waarabu wakawapenda wamatumbi, dada zenu si wananing'inizwa huku uarabuni kila siku maghorofani .....

Halafu usinitoe kwenye mstari

Wewe ni mbaguzi sana mkuu idawa. Unachoangalia ni utaifa na c mpira. Jirekebishe.
 
Daki 90 zimeongezwa 3 Mwarabu 2-0 Vital
 
Back
Top Bottom