Mkuu tangu lini mashabiki wa gongowazi wakaijua ratiba ya mechi za simba...ratiba kamili kutoka kwenye official website ya caf ni jumamosi tarehe 2Wewe unasema jumamosi saa tatu huyu hapa chini anasema kesho ijumaa.. Mnanivuruga ufahamu mjue?Mkuu huyo wa juu anakupinga..which is which?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vile Al-Ahly itapanga vijana wake wapya kwa kuidharau SIMBA SC !! hapo ndipo SIMBA SC wataibuka na ushindi wa ajabu (chukuwa akiba ya matokeo) !!!Tukumbushane rekodi [nzuri] za Simba
*1978:* Simba 1—8 Enyimba
*1980:* Al Ahly 9—0 Simba
*1984:* Petle Atletico de Angola 6—0 Simba
*1989:* Simba 2—8 Solfa ya Gabon
*1991:* Yanga 4 —0 Simba. Simba hawakurudi second half
*1996:* All Hilaly 5—0 Simba
che*1999:* Sesco 4—0 Simba
*2005:* Simba 0—4 Enyimba
*2007:* Enyimba 5—0 Simba
*2012:* Liboro de Angola 5—0 Simba
*2019:* As vita 5—0 Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho hakuna mechi ambayo simba wanacheza..labda kama gongowazi ckuhz wanajiita simba wanamechi yao kesho si unajua wale wazee wa ndondo ckuhz labda njaa imezidi wameamua watafute ndondo wapate hela walipe mishahara....sina cha kujiandaa kisaikolojia sababu timu kufungwa ni sehemu ya mchezo..hata wakina arsenal,barcelona wanafungwarelax mkuu haina haja ya kupaniki we jiandae kisaikolojia tu hapo kesho
haahaa unajifariji kupitia mgongo wa arsenal na barcelona kufungwa? Haaahaa sasa si uduwanzi huoKesho hakuna mechi ambayo simba wanacheza..labda kama gongowazi ckuhz wanajiita simba wanamechi yao kesho si unajua wale wazee wa ndondo ckuhz labda njaa imezidi wameamua watafute ndondo wapate hela walipe mishahara....sina cha kujiandaa kisaikolojia sababu timu kufungwa ni sehemu ya mchezo..hata wakina arsenal,barcelona wanafungwa
hawachukui chochote mwaka huu.ni kweli kiongozi, tatizo lingine ni kwamba simba wanacheza mpira as if waonekane bora kushinda yanga, hawaja-focus kwenye mashindano as mashindano
Ni ajabu simba kufungwa?... wewe unaenjoy matokeo ya AS VITA kama timu yenu ipo CAF CL.haahaa unajifariji kupitia mgongo wa arsenal na barcelona kufungwa? Haaahaa sasa si uduwanzi huo
Mduwanzi ni wewe ambae unataka kuaminisha kuwa timu kufungwa ni kitu cha ajabu..kwani Yanga nyie huwa hamfungwi..kwa iyo na wewe ni mduwanzi kuishabikia Yanga inayofungwa.nitajie duniani hapa ni timu gani ambayo huwa haifungwi..simba kufungwa nini cha ajabuhaahaa unajifariji kupitia mgongo wa arsenal na barcelona kufungwa? Haaahaa sasa si uduwanzi huo
YES WE CAN ipo... kwenu kuna BAKULI 4 LIFE.
Nyie yanga mmechukua chochote kipi??...na mtachukua chochote kipi...wenzenu kufuzu hatua ya mtoano na kupewa bilioni 1.5 tayari ni mafanikio makubwa na njaanjaa zenu najua ulivyosikia iyo bilioni 1.5 nimacho ishakutoka
Hawa jamaa ni haki yao kuzomea ila waelewe Simba imefika hapo kwa uwezo sio bahati.Tukifungwa sisi yanawahusu nini..nyie pambaneni na hali zenu
Ebu leta na msimamo wa kundi alilopo Yanga tuone anashika nafasi ya ngapi
Hawajui simba hajapelekwa kama best looser, ni uwezo tu upo.Nyie yanga mmechukua chochote kipi??...na mtachukua chochote kipi...wenzenu kufuzu hatua ya mtoano na kupewa bilioni 1.5 tayari ni mafanikio makubwa na njaanjaa zenu najua ulivyosikia iyo bilioni 1.5 nimacho ishakutoka
Hahaah afu ilikuwa ni kule kwenye viti maalumuHawa jamaa ni haki yao kuzomea ila waelewe Simba imefika hapo kwa uwezo sio bahati.
Wapige upatu Yanga yao ifike pia, wanajing'ata vidole Simba kuwa na point 3 mechi 2.,
Wao mechi zote 6 point 2.. Ni aibu ya ujamaa.
Akileta, nachangia bakuli.Ebu leta na msimamo wa kundi alilopo Yanga tuone anashika nafasi ya ngapi
Na nyie kufeni njaa tu maana hakuna namnaWAPIGWE TU MAANA HANMA NAMNA,
Nikiwa mshabiki wa mpira na muumini wa maneno ya Haji ambaye hakosei hata siku moja, Simba waende kushambulia mwanzo, mwisho.Tujadili kuhusu hili... Je, kocha Patric Aussems atapata nafasi ya kurekebisha makosa yaliyojitokeza kwenye mechi dhidi ya As Vita kuelekea mechi ya jumamosi na Al Ahly?