Sungura dume
JF-Expert Member
- Mar 28, 2016
- 571
- 527
Mechi ni jumamosi kwani hao huwa hawakosei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ni jumamosi kwani hao huwa hawakosei
Mbona hapo inaonekana ni ijumaa usikuMechi ni jumamosi kwani hao huwa hawakosei
wachezaji hao kibao ambao wamekimbia niorodhesheeKumbe timu kupanda tu ndege na njaa kwisha😂😂😂😂...wachezaji kibao tu wamekimbia njaa pale jangwani..mtindo wenu ckuhz kuzunguka na mabakuli kuombaomba😂😂
Chirwa...kakolanya...niendelee??wachezaji hao kibao ambao wamekimbia niorodheshee
Tujadili kuhusu hili... Je, kocha Patric Aussems atapata nafasi ya kurekebisha makosa yaliyojitokeza kwenye mechi dhidi ya As Vita kuelekea mechi ya jumamosi na Al Ahly?
Tujadili kuhusu hili... Je, kocha Patric Aussems atapata nafasi ya kurekebisha makosa yaliyojitokeza kwenye mechi dhidi ya As Vita kuelekea mechi ya jumamosi na Al Ahly?
kwenda sambamba bega kwa begaTujadili kuhusu hili... Je, kocha Patric Aussems atapata nafasi ya kurekebisha makosa yaliyojitokeza kwenye mechi dhidi ya As Vita kuelekea mechi ya jumamosi na Al Ahly?
Mzamiru humtaji kabisa? Kaharibu nini?Kikosi kilekile kilichocheza Kongo dhidi ya AS Vita, kicheze isipokuwa Kichuya na Bocco waanze. Wabadilishe approach tu, wawe aggressive kwenye ukabaji na mashambulizi ya kushitukiza tu. Bocco, Kichuya na hata Kagere hufanya vizuri sana kwa kukabia juu. Ila wakitegemea mkabaji mmoja tu Kotei, Simba itavuna mabua tena.
1.Manula
2.Gyan
3.Tshabalala
4.Jjuuko
5. Wawa
6. Kotei
7. Kichuya
8. Mkude
9. Bocco
10. Kagere
11. Okwi
Naomba usinielewe vibaya, mimi sipo upande wenu wala upande wao.Angalia post zangu utaona ninajaribu kutoa mtizamo mpana wa hii match bila kuingiza mahaba yeyote.Nawatakia mabishano mema bila kupigana.AhsanteAsante mzalendo,
Nilijua mpiga debe
Toa kichuya sio wetu tena, weka chama.Kikosi kilekile kilichocheza Kongo dhidi ya AS Vita, kicheze isipokuwa Kichuya na Bocco waanze. Wabadilishe approach tu, wawe aggressive kwenye ukabaji na mashambulizi ya kushitukiza tu. Bocco, Kichuya na hata Kagere hufanya vizuri sana kwa kukabia juu. Ila wakitegemea mkabaji mmoja tu Kotei, Simba itavuna mabua tena.
1.Manula
2.Gyan
3.Tshabalala
4.Jjuuko
5. Wawa
6. Kotei
7. Kichuya
8. Mkude
9. Bocco
10. Kagere
11. Okwi
Kuna game 3 mbele atacheza tuChezesheni kile kikosi kipana kilicho cheza Congo dhidi ya wababe As Vita ili mtupatie burùdani nyingine
Hivi Zana mbona hachezi mechi hizi sindo usajili mpya mbadala wa kapombe
Majeruhi yuko dar.Mzamiru humtaji kabisa? Kaharibu nini?
Ubingwa wa kikombe gani? Au unamaanisha Caf champions league? Usinijibu kabla sijaanza kucheka😁😁😁😁Simba inaenda kufungwa...ukweli mchungu, binafsi naona wachezaji wa Simba ndio hawaelewi wanataka nini, hawana hasira na ubingwa, wanachowaza wao ni mishahara minono tu..timu inabebwa na wachezaji wa nje, hawa wa ndani, moshi mwingi
Wamechanganyikiwa mkuu wasameheTuseme Livescore wanasema uongo?match kesho saa 4 Usiku. Saa moja kamili kesho ni AS Vita Vs JS Saoura
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uchebe aanze nyie ni sikio la kufa tuAishi Manula,
Nicholas Gyan
Asante Kwasi.
Pascal Wawa,
James Kotei,
Rashid Juma,
Hassani Dilunga,
Meddie Kagere,
Clatous Chama na
Emmanuel Okwi.
Bora iwe hivyo zimbwe na mkude recently hawako sawa, nahisi mbele kasi itaongezeka rashidi juma akishambulia,sijui kuhusu chama kurudi nyuma kukaba lakini rashidi juma kukaka anaweza kabisa. kila la heri wandugu. msinywe pombe kabla ya mechi.
Na alikuja kuziba pengo la kapombe,yule ni dancer simba wananunua Hata wakatabasamu,wakata viuno tuChezesheni kile kikosi kipana kilicho cheza Congo dhidi ya wababe As Vita ili mtupatie burùdani nyingine
Hivi Zana mbona hachezi mechi hizi sindo usajili mpya mbadala wa kapombe