Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hata kichuya hujui kuwa mmeshauza?Kikosi kilekile kilichocheza Kongo dhidi ya AS Vita, kicheze isipokuwa Kichuya na Bocco waanze. Wabadilishe approach tu, wawe aggressive kwenye ukabaji na mashambulizi ya kushitukiza tu. Bocco, Kichuya na hata Kagere hufanya vizuri sana kwa kukabia juu. Ila wakitegemea mkabaji mmoja tu Kotei, Simba itavuna mabua tena.
1.Manula
2.Gyan
3.Tshabalala
4.Jjuuko
5. Wawa
6. Kotei
7. Kichuya
8. Mkude
9. Bocco
10. Kagere
11. Okwi