Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

Kikosi kilekile kilichocheza Kongo dhidi ya AS Vita, kicheze isipokuwa Kichuya na Bocco waanze. Wabadilishe approach tu, wawe aggressive kwenye ukabaji na mashambulizi ya kushitukiza tu. Bocco, Kichuya na hata Kagere hufanya vizuri sana kwa kukabia juu. Ila wakitegemea mkabaji mmoja tu Kotei, Simba itavuna mabua tena.

1.Manula
2.Gyan
3.Tshabalala
4.Jjuuko
5. Wawa
6. Kotei
7. Kichuya
8. Mkude
9. Bocco
10. Kagere
11. Okwi
Hata kichuya hujui kuwa mmeshauza?
 
Hata mashabiki wa Al Ahly wamekipenda kikosi chao kitachoanza dhidi ya Underdog Fc.
 
FB_IMG_1548972805512.jpg
 
Sio kweli...Rashid juma tayari anafaa kuanzaa..umri unatosha sana, mechi hii ndio itampa uzoefu tena bora aanze ili kuliko aingie sub m kwng huyu dogo ana kila kitu...ni aina ya wachezaji wa striking foward
Sina imani na kwasi kwa sasa, Rashid Juma, zile ni tough game kwake, kule hakuna mtu anayekupa nafasi ya kukimbiza.
Bila uzoefu unaweza kumaliza dkk hata 10 bila kugusa mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtanange kupigwa jumamosi saa 3:00 usiku kwa saa za Misri na saa 4:00 kwa saa za kwetu
 
Back
Top Bottom