Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

Hata kichuya hujui kuwa mmeshauza?
 
Hata mashabiki wa Al Ahly wamekipenda kikosi chao kitachoanza dhidi ya Underdog Fc.
 
Sio kweli...Rashid juma tayari anafaa kuanzaa..umri unatosha sana, mechi hii ndio itampa uzoefu tena bora aanze ili kuliko aingie sub m kwng huyu dogo ana kila kitu...ni aina ya wachezaji wa striking foward
Sina imani na kwasi kwa sasa, Rashid Juma, zile ni tough game kwake, kule hakuna mtu anayekupa nafasi ya kukimbiza.
Bila uzoefu unaweza kumaliza dkk hata 10 bila kugusa mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtanange kupigwa jumamosi saa 3:00 usiku kwa saa za Misri na saa 4:00 kwa saa za kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…