Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

Ina dar kuna jua kali kuliko misri jangwani mkuu au!!
 
Ili mikia angalau mpate matokeo mcheze kana kwamba ndo mechi yen ya mwisho na mmebakiza 1point kufuzu.

[emoji375][emoji375]
 
nasemaje, kamuombeni radhi ALIEWAITA UNDERDOGS
 
Under dogs baada ya ku qualify hii hatua kuchukua zake 1.5 billion...gongowazi ambae sio underdog mayeye nasikia ka qualify hatua ya magroup whatsapp sijui kapewa shilingi ngapi
 
Underdog kafika hatua ambayo mnamiaka ishirini mnaisoma kwenye magazetiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
TUKUTANE SAA 4 USIKU HUKO MISRI

KILA LA HERI NATIONAL AL AHLY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…