Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Mkuu toa ili utusaidie kubetHahaha mi naogopa kutabiri. Kinywa changu nakiogopa, hutoa maneno na huwa yanatimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu toa ili utusaidie kubetHahaha mi naogopa kutabiri. Kinywa changu nakiogopa, hutoa maneno na huwa yanatimia
Ina dar kuna jua kali kuliko misri jangwani mkuu au!!Kwanza kabisa kudhiti pressure dk 20 za mwanzo.
Wahakikishe kwenye kumi na nane wasikubali kucheza faulo
Wakipata kona wazitumie waarabu kona wavivu
Kikiisha kipindi cha kwanza bila bila
Cha pili wazuie kwa kupiga counter attack
kagere na okwi waanze mbele...bocco aanzie benchi
chama awekwe ktk asichezw pembeni
manula asiteme mipira ovyo ovyo
pressure ya mashabiki na mafataki wasiwaze wala kuwapa presha
wakimbie sana siku ya leo
kila mchezaj ale glucose...kuongeza nguvu
SIMBA MOJA.....harafu wakija taifa wageni wote mechi ipigwe saa tisa mchana kwa jua hili lazima tuwachape...msiwachezeji jioni saa moja jua limezama.
Sent using Jamii Forums mobile app
nasemaje, kamuombeni radhi ALIEWAITA UNDERDOGSUnder dogs baada ya ku qualify hii hatua kuchukua zake 1.5 billion...gongowazi ambae sio underdog mayeye nasikia ka qualify hatua ya magroup whatsapp sijui kapewa shilingi ngapi😂😂😂....yaani ukiwa shabiki wa gongowazi lazima upate tabu sana..unamwita underdog timu aliyequalify hatua ambayo unamiaka 20 hujawahi qualify unaisikia tu kwenye radio
Mi mwenye we nimejiuliza nimekosa majibu huyu arifu anaongea lugha gani huyuYaani leo simba ashinde?
Mkuu unajaribu kuongea nini hapa?
Underdog kafika hatua ambayo mnamiaka ishirini mnaisoma kwenye magazeti😂😂😂😂😂nasemaje, kamuombeni radhi ALIEWAITA UNDERDOGS
Under dogs baada ya ku qualify hii hatua kuchukua zake 1.5 billion...gongowazi ambae sio underdog mayeye nasikia ka qualify hatua ya magroup whatsapp sijui kapewa shilingi ngapi
Simba kushindaaa Leo? Labda watoe kafara kubwaa.Mi mwenye we nimejiuliza nimekosa majibu huyu arifu anaongea lugha gani huyu
TUKUTANE SAA 4 USIKU HUKO MISRIUnderdog kafika hatua ambayo mnamiaka ishirini mnaisoma kwenye magazeti😂😂😂😂😂