Al Ahly wanastahili kucheza hata UEFA Champions League

Ka Simba ka Manara ndio utopolo kabisaaaaa
 
Game nimeicheck yote ile Mtani. Hamna mpira wa mana Al Ahly ameonyesha pale.
Na ile ndio team no 1 africa, yaani mpira wetu bado sana. Kama wale ndio hivyo huku wengine sijui ndio inakuwaje.
 
Angalia statistics kwanza ndio uwasifie
 
Hawa jamaa wakija kwa mkapa huwa hawakazi ila wakikaza kama hivi tutachezea mkono hapa hapa kwa mkapa.
Safari hii tunawapiga hapo hapo kwa Mkapa na kule kwa mechi ya mwisho tunawahenyesha
 
Kwa passing na build up toka chini walijitahidi ila ulikuwa unaona wakifika kwenye final third,unaliona lile lile tatizo ambalo huwa linaonekana kwa timu zetu zinapocheza na giants wa Africa......na namna ya wale jamaa wanavyowapora mipira kirahisi,wanafootwork nzuri,quality zaidi.....Mpira wetu ndiyo mwisho pale,sidhani kama Buyern walitumia plan a na b,wangeamua kucheza kwa kutaka kutoa adhabu,wangekula ✊🏿
 
Game nimeicheck yote ile Mtani. Hamna mpira wa mana Al Ahly ameonyesha pale.
Wamenikera kweli yaani mie naja jamaa watasema potw ya pote hapa na sie tuupige. Loh! Ndio kwanza wanakaa kwenue nusu yao.

Ila tuseme ukweli tuu...mpira ni magoli but ata fina ya caf champions league aliyeupiga mpora alikjwa zamalek na sio al ahly.
 
vipi wameshinda ngapi?
 
Ah sasa wee muongo eti nikajua kuwa wekundu ndio bayern...wee bayern hii toka lini ikapaki basi nusu uwanja?
Wao kila gme wana take the initiative.
Hajui mpira huyo usibishane nae
 
Utasikia wenyewe (Mbumbumbu SC) wanatamba "ZIS IS THIMBA - NGUVU MOJA".

Na wale wengine (Vyura SC) wao utawasikia "DAIMA MBELE NYUMA MWIKO".

Nenda kawaangalieni uwanjani sasa...........
 
Aly Ahly walipigwa ngapi na Mamelod
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…