Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Game nimeicheck yote ile Mtani. Hamna mpira wa mana Al Ahly ameonyesha pale.Ndio maana nakupenda uko tofauti na utopolo wenzio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game nimeicheck yote ile Mtani. Hamna mpira wa mana Al Ahly ameonyesha pale.Ndio maana nakupenda uko tofauti na utopolo wenzio.
Ka Simba ka Manara ndio utopolo kabisaaaaaYes, no doubts
Nipo sebuleni kwangu naangalia mpira wa Al ahly vs Bayern Munich aiseee siamini kama kuna timu kutoka Africa inaweza cheza kwa kujituma katika level hiii. Timu za Tanzania zina safari kubwa ambayo itawachukua miongo kadhaaa kuwafikia hawa jamaaa.
Congratulations KWA league ya Misri, mpira ni pesa, mpira ni uwekezaji. Mpira sio press conference kila siku. Kufika level kunahitaji vision na sio ubabaishaji wa mitandaoni eti mnalinda brand. Huu ndio mpira sasa, hawa jamaa wanaweza cheza hata UEFA na kuna timu za kijinga jinga zinachezea goals za kutosha.
Ni hayo tu
Na ile ndio team no 1 africa, yaani mpira wetu bado sana. Kama wale ndio hivyo huku wengine sijui ndio inakuwaje.Game nimeicheck yote ile Mtani. Hamna mpira wa mana Al Ahly ameonyesha pale.
Aseno ya kimanzichana sawa ila siyo Arsenal fcAseno anaweza akala hata saba7️⃣
Safari hii tunawapiga hapo hapo kwa Mkapa na kule kwa mechi ya mwisho tunawahenyeshaHawa jamaa wakija kwa mkapa huwa hawakazi ila wakikaza kama hivi tutachezea mkono hapa hapa kwa mkapa.
Wamenikera kweli yaani mie naja jamaa watasema potw ya pote hapa na sie tuupige. Loh! Ndio kwanza wanakaa kwenue nusu yao.Game nimeicheck yote ile Mtani. Hamna mpira wa mana Al Ahly ameonyesha pale.
Wamenikera kweli yaani mie naja jamaa watasema potw ya pote hapa na sie tuupige. Loh! Ndio kwanza wanakaa kwenue nusu yao.Game nimeicheck yote ile Mtani. Hamna mpira wa mana Al Ahly ameonyesha pale.
vipi wameshinda ngapi?Yes, no doubts
Nipo sebuleni kwangu naangalia mpira wa Al ahly vs Bayern Munich aiseee siamini kama kuna timu kutoka Africa inaweza cheza kwa kujituma katika level hiii. Timu za Tanzania zina safari kubwa ambayo itawachukua miongo kadhaaa kuwafikia hawa jamaaa.
Congratulations KWA league ya Misri, mpira ni pesa, mpira ni uwekezaji. Mpira sio press conference kila siku. Kufika level kunahitaji vision na sio ubabaishaji wa mitandaoni eti mnalinda brand. Huu ndio mpira sasa, hawa jamaa wanaweza cheza hata UEFA na kuna timu za kijinga jinga zinachezea goals za kutosha.
Ni hayo tu
Nye utopolo ni wajinga ,heri Simba wanakutana mara kwa mara na Al Ahly hata kama wakifungwa lakini nye kucheza nao ni ndoto mtaendelea kufungwa na African sportPress kila siku..
Kulinda brand..
Mambo ya manara
Mbele ya African sporttimu hasa mbele ya nani? ruvu,yanga,azam ama maana hao tu wanaitoa jasho
Hajui mpira huyo usibishane naeAh sasa wee muongo eti nikajua kuwa wekundu ndio bayern...wee bayern hii toka lini ikapaki basi nusu uwanja?
Wao kila gme wana take the initiative.
mikia kwenye ndumba uwa wanajitoa ufahamu swahiba 😀Hahahaaa. Husemi uongo Swahiba.
Ila Swahiba huyu mzee ana moyo wa kipekee bana. 😅😅
Kwani Yanga haijawahi kuifunga al ahly?Kwani Simba haijawahi kuifunga Al Ahly au ulikuwa kwenu mbwinde unawinda vidukwi?
Utasikia wenyewe (Mbumbumbu SC) wanatamba "ZIS IS THIMBA - NGUVU MOJA".Yes, no doubts
Nipo sebuleni kwangu naangalia mpira wa Al ahly vs Bayern Munich aiseee siamini kama kuna timu kutoka Africa inaweza cheza kwa kujituma katika level hiii. Timu za Tanzania zina safari kubwa ambayo itawachukua miongo kadhaaa kuwafikia hawa jamaaa.
Congratulations kwa league ya Misri, mpira ni pesa, mpira ni uwekezaji. Mpira sio press conference kila siku. Kufika level kunahitaji vision na sio ubabaishaji wa mitandaoni eti mnalinda brand. Huu ndio mpira sasa, hawa jamaa wanaweza cheza hata UEFA na kuna timu za kijinga jinga zinachezea goals za kutosha.
Ni hayo tu.
Aly Ahly walipigwa ngapi na MamelodUto kwa kujitafutia faraja hamjambo! Juzi mkatafuta timu ndogo mpate faraja ila mkakalia.
NB: Al Ahly ni timu bora zaidi Africa na hakuna timu yoyote ya kuishinda Ahly kwa hapa Africa ni hivyo tu mpira una maajabu wanaweza poteza ila wao ni bora zaidi Africa, tatizo uzi wako umejaa unazi wa Uto.
Mkikosea mnalaumu mchezaji mmoja ila mkishinda timu yenu nzuri bado mna safari ndefu sanaYanga walimchapa kimoko taifa Canavaro aliwaua,home Bahanuzi akazingua kwenye penalty
mechi ya kirafiki ile tulikuwa tunapima vifaa vya tar. 20 TFF wakastuka wakasogeza mbeleMbele ya African sport