Al Ahly yaanza vyema mechi ya hatua ya makundi kwa kuichapa El Merreikh 3-0


Nakuunga mkono mkuu.
Kuna watu wana mawazo mazuri kwamba Simba iongoze kundi (kwa Ahly kupoteza au kusare dhidi ya Merreikh)...
Hili lina madhara makuu mawili kwa Simba.
1. Kuongeza ugumu wa mechi kwa Simba dhidi ya Al Ahly.
Ahly akiwa na pointi chache kuliko Simba, atakuja kucheza kufa na kupona ili apate ushindi dhidi ya Simba. (Uwezo huu anao)
Ahly kupoteza pointi dhidi ya Merreikh kunaongeza demand ya points kutoka kwa Simba.
2. Kuongeza idadi ya washindani kwa Simba wanaowania nafasi mbili za kuvuka.
Merreikh akishinda leo maana yake atakua na points tatu lakini pia atakua ametuachia (Simba) msala wa Ahly aliyejeruhiwa.
Ahly akishinda Dar (narudia uwezo huu anao) maana yake timu tatu zinakua na points 3. Hii inahatarisha chances za Simba kwenye nafasi mbili za kuvuka.

NB:
Ni bora kukutana na Merreikh au AS Vita aliyejeruhiwa kuliko Ahly aliyejeruhiwa.

Kwa 70% ni kwamba Al Ahly anavuka hii hatua, kinachotafutwa kwa sasa ni anavuka na nani mmoja kati ya hawa watatu.
It is a fair bet Ahly atusaidie Simba kuwadhoofisha Vita na Merreikh, otherwise we are likely to pay a price (kupoteza point 4 au 6 kwa Ahly).
 

Mkuu, sio kwamba wanakera, haya ni mambo ya kibiashara.

Wadhamini wa mashindano ya CAF (Champions league, Confederation, CHAN, AFCON, AFCON U17, AFCON U20, nk) ni kampuni ya Total.
Hawa Total ndio wanataka coverage (kutangazwa) kabla mechi hazijaanza na soon baada ya kumalizika.
Na wametoa hela nyingi sana kudhamini mashindano hayo ili wapate coverage hiyo.
Unakosea kuwalaumu, kuwachukia au kukasirishwa na ZBC.

It's all about business mkuu.
 
Hao Al Ahly mnawaoverrate tu, hawana chochote
 
Nimepita nimechungulia dakika kadhaa nimeona mpira hauna stimu kabisa yani utafikiri inacheza yanga

Mpira mbovu yani zile hamsha hamna umekosa stimu kabisa, nadhani bila simba haya mashindano yangekosa mvuto kabisa na hili wadau wote wa mpira wameliona

Hawa wote bado sijaona wakupona pindi wakikutana na mnyama
 
Ni kweli mkuu, kwa wanavyo cheza leo sioni kama ni tishio...wapo overrated sana. Nakazia.
Al Ahly ni timu nzuri sana,tena ni timu bora,ila kwenye soka lolote linaweza tokea.
Minaimani kwenye mechi mbili za Simba na Al Ahly ipo mechi watakayofungwa Al Ahly,kama sio mechi zote mbili basi hata moja Al Ahly watakaa tu piga ua.
 
Dk ya 70 bao ni 3
Sasa niseme tu usiku mwema[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…