Al Ahly yaanza vyema mechi ya hatua ya makundi kwa kuichapa El Merreikh 3-0

Al Ahly yaanza vyema mechi ya hatua ya makundi kwa kuichapa El Merreikh 3-0

Wanaonyesha dakika zote useme huwa hakuna uchambuzi
Uchambuzi upo sana, mechi zote za CHAN walizoonyesha wanachambua

Ila hilo la dakka zote nikuulize tu, Mechi ya Simba vs AS Vita uliangalia kupitia hii channel? Kama uliangalia bas utagundua kwamba baada tu ya wachezaji kuingia uwanjani matangazo ya moja kwa moja yalikatishwa kupisha matangazo kingine half time ule muda wa uchambuzi walikatisha uchambuz kupisha matangazo. Maan yake ni nini?

Pia ile game ya Taifa Stars ya mwisho kwenye kundi ilikua hivihivi. Wanakera
 
Hivi Afcon U20 inaonyeshwa channel gani?
 
Kwenye uzi huu tutapata updates za game hiyo inayochezwa leo. Hizo timu zipo group 1 na Timu yetu pendwa Simba SC. Tuombee mechi hii iishe sare ili Simba aendelee kuongoza kundi hilo.
Nakupinga hapo kwenye kuombea sare mechi ya leo. Ili Simba iwe salama kwenye mechi ijayo inatakiwa Al Ahly ashinde ili kupunguza presha kwenye mechi yao ijayo. Endapo Ahly atatoa sare au kufungwa leo, mechi ijayo itakua ni must-win kwa upande wao na kufanya mechi hiyo kuwa ngumu kwa Simba.
 
Hii mechi Al Ahly watoe draw ili wakikutana na Simba watolewe bikr# wapigwe 2-bila.
 
Nakupinga hapo kwenye kuombea sare mechi ya leo. Ili Simba iwe salama kwenye mechi ijayo inatakiwa Al Ahly ashinde ili kupunguza presha kwenye mechi yao ijayo. Endapo Ahly atatoa sare au kufungwa leo, mechi ijayo itakua ni must-win kwa upande wao na kufanya mechi hiyo kuwa ngumu kwa Simba.
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom