Mbacho_
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 339
- 760
Uchambuzi upo sana, mechi zote za CHAN walizoonyesha wanachambuaWanaonyesha dakika zote useme huwa hakuna uchambuzi
Ila hilo la dakka zote nikuulize tu, Mechi ya Simba vs AS Vita uliangalia kupitia hii channel? Kama uliangalia bas utagundua kwamba baada tu ya wachezaji kuingia uwanjani matangazo ya moja kwa moja yalikatishwa kupisha matangazo kingine half time ule muda wa uchambuzi walikatisha uchambuz kupisha matangazo. Maan yake ni nini?
Pia ile game ya Taifa Stars ya mwisho kwenye kundi ilikua hivihivi. Wanakera