Al Ahly yaanza vyema mechi ya hatua ya makundi kwa kuichapa El Merreikh 3-0

Kwenye uzi huu tutapata updates za game hiyo inayochezwa leo. Hizo timu zipo group 1 na Timu yetu pendwa Simba SC. Tuombee mechi hii iishe sare ili Simba aendelee kuongoza kundi hilo.


Dk 19: bado game ngumu
Al ahly 3-0 el mireikh
 
Unasemaa?

Simba atakula kumi. Watu wapo Serious kweli na kazi. Sio kina Kagere na Mugalu wanaruka ruka tu na kupoteza nafasi.

Wajifunze kwa wanaume hawa wapo Serious kweli kweli
 
Simba atakula kumi. Watu wapo Serious kweli Na kazi. Sio kina Kagere Na Mugalu wanaruka ruka tu na kupoteza nafasi.

Wajifunze kwa wanaume hawa wapo Serious kweli kweli

Simba atakufa misri.. ila dar simba anatoboa
 
Duuh yani ume create chance 20 kisha unafunga bao tatu tu, hawa jamaa ni wabovu sema wamekutana na team dhaifu tu hawa
Hakuna tim mbovu mzee awa waarabu wana moto wa kuotea mbali kwanza mpira wao umetulia sana beki kama ukuta kipindi cha kwanza Al marekh wamekaza sana ila cha pili asa dakika za jioni wameelemewa mnoo beki zinakimbizwa vbaya mno aisee Al Ahly ni balaa chamuhimu ni kukaza buti
 
Simba atakula kumi. Watu wapo Serious kweli Na kazi. Sio kina Kagere Na Mugalu wanaruka ruka tu na kupoteza nafasi.

Wajifunze kwa wanaume hawa wapo Serious kweli kweli
Hizo goli kumi Ilishindwa sevilla ndio waje hao vibopa wa farao?

Endeleeni na ramli chonganishi si tunafanya maajabu na kuweka rekodi ambazo itawachukua karne kuja kuzifikia hizi ni rekodi ambazo zitaishi milele, hizo tabiri hazijaanza leo kuna wenzako walisema As vita itatupiga 5 unalipi la kuwaambia watu hao?

Eti kagere na mugalu unawatoa kosa...Sasa si bora uuziwe mbuzi kwenye gunia kuliko kuuziwa gunia lisilo na mbuzi?

Usajili wa kisado na yule kibopa mwingine sijui mnamuitwa nani ana jina gumu kama maisha yangu naye mmeingizwa chaka...anapiga pasi mbovu utafikiri anamiguu yote ya kushoto
 
Ramli chonganishi ni wewe kuamini mtamfunga Al-Ahly.
 
Simba atakula kumi. Watu wapo Serious kweli Na kazi. Sio kina Kagere Na Mugalu wanaruka ruka tu na kupoteza nafasi.

Wajifunze kwa wanaume hawa wapo Serious kweli kweli
Cha ajabu nini hapo?

Kwamba al ahly ni timu inayotisha sana kwasababu imempiga mtu goli hizo



Basi kama ndio hivyo simba iliyompiga mtu goli 4-1 itakua hatari zaidi yao
 
Mkuu hebu angalia hizo takwimu hapo alafu ujibu nilicho hoji, sio unasifia tu ovyo wakati takwimu ziko waza hapo
 
Ni halali uone mpira wa al ahly umetulia kulingana na timu wanayo cheza nayo

Unaanzaje kutulia na mpira kwenye kikosi ambacho miquson anarudi hadi beki kwenda kukaba?
 
Mkuu hebu angalia hizo takwimu hapo alafu ujibu nilicho hoji, sio unasifia tu ovyo wakati takwimu ziko waza hapo
Timu iliyocheza na Bayern Munich na kufungwa goli mbili tu unaamini kiwa ni wabovu ila wameshinda kwa vile wamekutana na wachovu zaidi?
Timu inashika nafasi ya tatu katoka klabu bingwa dunia unawaona ni timu mbovu, kama mbovu imefikaje hatua ya kufika nusu fainali kwenye klabu bingwa dunia?

Hiyo takwimu ya kutengeneza nafasi 20 na kupata goli tatu sio sababu ya kuifanya timu ionekane mbovu kwasababu uwanjani hawachezi peke yao kuna wachezaji wa timu pinzani ambao inawezekana game approach yao ni kupaki basi tu.
Kwenye mpira kuruhusu kushambuliwa ama kutengenezewa nafasi nyingi sana inatoa mwanya wa kufungwa.
Halafu mbona hapo kwenye big chance 5 haupaongelei? Wametengeneza big chance 5 na wamepata magoli 3
 
Watu wametoka kucheza na Bayern Munich(bingwa wa ulaya na dunia) wewe umetoka kucheza na Dodoma mji alafu eti muwe sawa, Disrespectful!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…