Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia u tube utaziona highlight.Mleta mada hebu twambie Yanga Kamfunga Lini Al Alhly..??
kama ipo basi nafikiri ni wakati nchi yetu inaitwa Tanganyika 😀 😀Mleta mada hebu twambie Yanga Kamfunga Lini Al Alhly..??
Ulikua bado upo kwenu huko sangabuyekama ipo basi nafikiri ni wakati nchi yetu inaitwa Tanganyika 😀 😀
Nyinyi ambao huwa hamchimbi viwanja wala kuwasha moto, mnacheza kisayansi, mnalingana na wawasha moto idadi za kumfunga Al Ahly? Mnawazidi wawasha moto idadi ya kucheza robo fainali au nusu fainali CAFCL? Shwaini.Ahly kufungwa kwake haitakua ndio mwiko umevunjwa, Alisha fungwa na Mamelodi.
Kuhusu Kidume wa soka apa Bongo anafahamika sasa tusichanganye mambo.
Kuhusu timu zetu kushinda Cairo kwa timu kama Ahly inawezekana ila timu ziwekeze ki sayansi zaidi kuliko kuchimba viwanja ili kufukia makafara na kuwashamoto wa kichawi uwanjani.
Timu ikienda Cairo na Mentality za kishirikina ndio zile goli 5 zitawahusu.
Uchambuzi mzuri sanaBinafsi naona kwa miaka ya hivi karibuni timu ambayo imekuwa inaweza kumfunga Al alhly nyumbani ni Mamelod.
Kwa upande wa bongo, M
mpaka muda huu timu nayoona inaweza kuiga mbinu za Mamelod na kumfunga Al alhly ni Yanga.
Nasema hivyo kwa sababu uchezaji wa Yanga unaweza kushambulia na kufunga njia za Waarabu. Naamanisha angalau beki na viungo wakabaji wa Yanga wanaweza kukata umeme kwa Waarabu na kupunguza mashambulizi ndani ya box.
Kwa Simba wanahitaji kufanya maboresho hasa katika safu yao ya ulinzi na kukata umeme mana Waarabu wanajua kufosi.
Umeme usipokatwa vizuri wachezaji wa Al alhly lazima wafosi na wataingia kwenye box, watapata hata penati.
Ukiona GENTAMYCINE namdharau Mtu hapa JamiiForums kama huyu CAPO DELGADO uliyempa haya Makavu yako ya uhakika jua ana Vitu Viwili ni Mpumbavu ( dame Fool ) na Punguwani Mwandamizi ( Mentally Retarded ) kabisa.We nawe jiongezage basi
Huwe unajibu kulingana na mada iliyopo mezani
Nashangaa huwa unamtukana mtani wangu GENTAMYCINE kuwa ni dishi,ila naanza kuamini kuwa wewe ndo unashinda
Mzee,changia mada kulingana na hoja husika
[emoji23][emoji23]zee la midekoUkiona GENTAMYCINE namdharau Mtu hapa JamiiForums kama huyu CAPO DELGADO uliyempa haya Makavu yako ya uhakika jua ana Vitu Viwili ni Mpumbavu ( dame Fool ) na Punguwani Mwandamizi ( Mentally Retarded ) kabisa.
Alichokiweza cha Ukubwa hapa JamiiForums ni Kububiri Kunichukia, Kuniandama na Kunichafua akidhani labda ataniweza na atapunguza Umaarufu wangu wa Kutukuka kumbe bila ya kujua ndiyo Kwanza anauongezea Umaarufu wangu Uliobarikiwa na Mwenyezi Mungu.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Kwasasa hakuna timu kutoka bongo inayoweza mpiga al ahly nje ndaniAhly kufungwa kwake haitakua ndio mwiko umevunjwa, Alisha fungwa na Mamelodi.
Kuhusu Kidume wa soka apa Bongo anafahamika sasa tusichanganye mambo.
Kuhusu timu zetu kushinda Cairo kwa timu kama Ahly inawezekana ila timu ziwekeze ki sayansi zaidi kuliko kuchimba viwanja ili kufukia makafara na kuwashamoto wa kichawi uwanjani.
Timu ikienda Cairo na Mentality za kishirikina ndio zile goli 5 zitawahusu.