Al Ahyl kucheza na Simba na Yanga, atakayempiga home and away ndio Kidume wa Soka la Bongo

Binafsi naona kwa miaka ya hivi karibuni timu ambayo imekuwa inaweza kumfunga Al alhly nyumbani ni Mamelod.

Kwa upande wa bongo, M
mpaka muda huu timu nayoona inaweza kuiga mbinu za Mamelod na kumfunga Al alhly ni Yanga.

Nasema hivyo kwa sababu uchezaji wa Yanga unaweza kushambulia na kufunga njia za Waarabu. Naamanisha angalau beki na viungo wakabaji wa Yanga wanaweza kukata umeme kwa Waarabu na kupunguza mashambulizi ndani ya box.

Kwa Simba wanahitaji kufanya maboresho hasa katika safu yao ya ulinzi na kukata umeme mana Waarabu wanajua kufosi.

Umeme usipokatwa vizuri wachezaji wa Al alhly lazima wafosi na wataingia kwenye box, watapata hata penati.
 
Nyinyi ambao huwa hamchimbi viwanja wala kuwasha moto, mnacheza kisayansi, mnalingana na wawasha moto idadi za kumfunga Al Ahly? Mnawazidi wawasha moto idadi ya kucheza robo fainali au nusu fainali CAFCL? Shwaini.
 
Kuna timu naitabiria kupigwa nje ndani na Al Ahly. Muda ukifika mtaishuhudia kwa namna itakavyo fedheheshwa.
 
Uchambuzi mzuri sana

Kikubwa Yanga aendelee kuimarisha kikosi chake
 
We nawe jiongezage basi

Huwe unajibu kulingana na mada iliyopo mezani

Nashangaa huwa unamtukana mtani wangu GENTAMYCINE kuwa ni dishi,ila naanza kuamini kuwa wewe ndo unashinda

Mzee,changia mada kulingana na hoja husika
Ukiona GENTAMYCINE namdharau Mtu hapa JamiiForums kama huyu CAPO DELGADO uliyempa haya Makavu yako ya uhakika jua ana Vitu Viwili ni Mpumbavu ( dame Fool ) na Punguwani Mwandamizi ( Mentally Retarded ) kabisa.

Alichokiweza cha Ukubwa hapa JamiiForums ni Kububiri Kunichukia, Kuniandama na Kunichafua akidhani labda ataniweza na atapunguza Umaarufu wangu wa Kutukuka kumbe bila ya kujua ndiyo Kwanza anauongezea Umaarufu wangu Uliobarikiwa na Mwenyezi Mungu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
[emoji23][emoji23]zee la mideko
 
Ahly atakufa tu atake astake,uzuri ni kwamba 20 oct mtamshabikia ahly,ila baada ya hapo na sisi tutamshabikia anavyowakandamiza mwiko huko nyuma
 
Ahly atakufa tu atake astake,uzuri ni kwamba 20 oct mtamshabikia ahly,ila baada ya hapo na sisi tutamshabikia anavyowakandamiza mwiko huko nyuma
Aahaaaa,hatutaki mkosi

Siye tutapambana peke yetu
 
Kwasasa hakuna timu kutoka bongo inayoweza mpiga al ahly nje ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…