Kwani tukifa wao inawahusu nini?Sababu wamegundua mashabiki wa simba hawajielewi na siyo watu wa kuchukua tahadhari! Wanaingia uwanjani bila barakoa, wanabanana kama ndizi, wanaingia uwanjani na mahotpot ya wali! Wanaingia na mapaka kuwatishia wapinzani wao!!
Waendelee tu kuzuiliwa kuingia. Hakuna namna.
Wanaingia na mahotpot ya wali nomaSababu wamegundua mashabiki wa simba hawajielewi na siyo watu wa kuchukua tahadhari! Wanaingia uwanjani bila barakoa, wanabanana kama ndizi, wanaingia uwanjani na mahotpot ya wali! Wanaingia na mapaka kuwatishia wapinzani wao!!
Waendelee tu kuzuiliwa kuingia. Hakuna namna.
Acheni kulialia, hamfuati sheria za kovidi.......kuambiwa waingie elf 30 it minsi, kila baada ya mtu kukaa, anaacha kiti kimoja......ila watu wanajazana sehemu moja tuKlabu ya al hilal imeruhusiwa kuingiza mashabiki 1000 uwanjani
As vita imeruhusiwa kuingiza mashabiki 3000 uwanjani...rais wa as vita athibitisha.
Hii imekaaje wadau au ndio figisu za soka
Kwani tunaenda uwanjani kufanya mtihani kwamba tusiigane?Acheni kulialia, hamfuati sheria za kovidi.......kuambiwa waingie elf 30 it minsi, kila baada ya mtu kukaa,anaacha kiti kimoja......ila watu wanajazana sehemu moja tu
El Hilal au El AhlyKlabu ya al hilal imeruhusiwa kuingiza mashabiki 1000 uwanjani
As vita imeruhusiwa kuingiza mashabiki 3000 uwanjani...rais wa as vita athibitisha.
Hii imekaaje wadau au ndio figisu za soka
Kama unataka kuangalia uwanjani pekee, ni lazima iwe Simba maana kwa Tanzania ndio klabu kubwa pekee inayoshiriki michuano ya CAF, maana Namungo haina mashabiki na Yanga haishiriki kabisa. Lakini mimi ningeweza kusema ni Watanzania hatuchukui tahadhari, maana hata nje ya event za michezo, ukienda mtaa wa Congo watu wamebanana kuliko hata hapo uwanjani, kwa hiyo ni Watanzania, sio washabiki wa SimbaSababu wamegundua mashabiki wa simba hawajielewi na siyo watu wa kuchukua tahadhari! Wanaingia uwanjani bila barakoa, wanabanana kama ndizi, wanaingia uwanjani na mahotpot ya wali! Wanaingia na mapaka kuwatishia wapinzani wao!!
Waendelee tu kuzuiliwa kuingia. Hakuna namna.
Wewe ni mchawi wa maendeleo.Hao wanafata Sheria, lakini hapa kwetu Ukiwaruhusu 1000 wataiingia 5000, figisu nyingi Sana.
Sababu wamegundua mashabiki wa simba hawajielewi na siyo watu wa kuchukua tahadhari! Wanaingia uwanjani bila barakoa, wanabanana kama ndizi,
Si kweli. Tukishinda kesho tutafikisha point 10, ambazo zinaweza kufikiwa na timu mbili nyingine tukaishia kuwa namba tatu, tena hata kama wao watatoka na matokeo yoyote katika mechi wanayocheza baina yao (Vita na Ahly). Tunatakiwa kushinda kesho na walau kutoka sare na AS Vita ili kufikisha point 11 zinazoweza kufikiwa na wawili pia, ila sasa AS Vita tutakuwa tumemzidi katika Head To Head rule inayotumika katika kanuni za mashindano haya 2021... game ya kesho tukipiga mtu ni automatic tumefuzu robo
Nendeni kesho basiKwani tunaenda uwanjani kufanya mtihani kwamba tusiigane?
Jina la alilotoa Rage utakuwa unalitumia bila shakaKwani tunaenda uwanjani kufanya mtihani kwamba tusiigane?
Acheni kulialia, hamfuati sheria za kovidi.......kuambiwa waingie elf 30 it minsi, kila baada ya mtu kukaa,anaacha kiti kimoja......ila watu wanajazana sehemu moja tu
Kandambili Simba inawatesa sana, kesho wale rafiki zenu hawatoki tutapiga kama mbwa mwizi.Wanaingia na mahotpot ya wali noma