Al Hilal na As Vita waruhusiwa kuingiza mashabiki uwanjani

Al Hilal na As Vita waruhusiwa kuingiza mashabiki uwanjani

Hao wanafata Sheria, lakini hapa kwetu Ukiwaruhusu 1000 wataiingia 5000, figisu nyingi Sana.
 
Sababu wamegundua mashabiki wa simba hawajielewi na siyo watu wa kuchukua tahadhari! Wanaingia uwanjani bila barakoa, wanabanana kama ndizi, wanaingia uwanjani na mahotpot ya wali! Wanaingia na mapaka kuwatishia wapinzani wao!!

Waendelee tu kuzuiliwa kuingia. Hakuna namna.
 
Wanaingia na mahotpot ya wali noma
 
Klabu ya al hilal imeruhusiwa kuingiza mashabiki 1000 uwanjani
As vita imeruhusiwa kuingiza mashabiki 3000 uwanjani...rais wa as vita athibitisha.

Hii imekaaje wadau au ndio figisu za soka
Acheni kulialia, hamfuati sheria za kovidi.......kuambiwa waingie elf 30 it minsi, kila baada ya mtu kukaa, anaacha kiti kimoja......ila watu wanajazana sehemu moja tu
 
Nkana wamebanwa waingize washabiki 200
1615802111505.png
 
Klabu ya al hilal imeruhusiwa kuingiza mashabiki 1000 uwanjani
As vita imeruhusiwa kuingiza mashabiki 3000 uwanjani...rais wa as vita athibitisha.

Hii imekaaje wadau au ndio figisu za soka
El Hilal au El Ahly
 
Sababu wamegundua mashabiki wa simba hawajielewi na siyo watu wa kuchukua tahadhari! Wanaingia uwanjani bila barakoa, wanabanana kama ndizi, wanaingia uwanjani na mahotpot ya wali! Wanaingia na mapaka kuwatishia wapinzani wao!!

Waendelee tu kuzuiliwa kuingia. Hakuna namna.
Kama unataka kuangalia uwanjani pekee, ni lazima iwe Simba maana kwa Tanzania ndio klabu kubwa pekee inayoshiriki michuano ya CAF, maana Namungo haina mashabiki na Yanga haishiriki kabisa. Lakini mimi ningeweza kusema ni Watanzania hatuchukui tahadhari, maana hata nje ya event za michezo, ukienda mtaa wa Congo watu wamebanana kuliko hata hapo uwanjani, kwa hiyo ni Watanzania, sio washabiki wa Simba
 
Hao wanafata Sheria, lakini hapa kwetu Ukiwaruhusu 1000 wataiingia 5000, figisu nyingi Sana.
Wewe ni mchawi wa maendeleo.
CAF officials unawajua?
Wanaposema mashabiki 3,000/- ina maana hata ticket zitakuwa printed kwa idadi hiyo tu.

Technology imeenda mbali sana aisee ukiingiza watu elfu 4 itaonekana tu na officials lazima watoe ripoti itakayokufunga.
 
Al Hilal ya Sudan na Al Ahly ya Misri, sasa unamaanisha ipi hapa make watanzania ni watu wa kukariri tu siku zote.
 
Uzuri ni kwamba tumebakisha michezo miwili tu (tukiondoa game ya kesho) game ya kesho tukipiga mtu ni automatic tumefuzu robo na tuwaombee wale washenzi kule congo watoke sare tena itapendeza zaidi
 
... game ya kesho tukipiga mtu ni automatic tumefuzu robo
Si kweli. Tukishinda kesho tutafikisha point 10, ambazo zinaweza kufikiwa na timu mbili nyingine tukaishia kuwa namba tatu, tena hata kama wao watatoka na matokeo yoyote katika mechi wanayocheza baina yao (Vita na Ahly). Tunatakiwa kushinda kesho na walau kutoka sare na AS Vita ili kufikisha point 11 zinazoweza kufikiwa na wawili pia, ila sasa AS Vita tutakuwa tumemzidi katika Head To Head rule inayotumika katika kanuni za mashindano haya 2021
 
Back
Top Bottom