Al Jazeera hizi taarifa tutawaamini vipi? Zaidi ya Wapalestina 19,000 wameuawa toka Vita ianze?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Screenshot_2023-12-17-15-11-49-718_com.android.chrome~2.jpg
 
Hadi Leo mchana namba inasoma 20,000,
Kama vita itaendelea zaidi Kwa miezi 3 mbele basi idadi ya vifo itakuwa kubwa zaidi
 
wazeee wa propaganda washawai shitakiwa kua wanafanya propaganda za chuki!

Dunia wanaitangazia vingine na uarabuni wanawatangazia vitu vingine
Hao waarabu wanaishi dunia ipi ambayo nyie waswahili hamuishi
Muache propaganda za kitoto nyie vijana hakuna huo upuuzi hizi zama...!!
 
wazeee wa propaganda washawai shitakiwa kua wanafanya propaganda za chuki!

Dunia wanaitangazia vingine na uarabuni wanawatangazia vitu vingine
Kila siku naangalia Al-Jazeera na matukio Yao kuhusu hivi vita vya Israel na hamas ni live bila chenga. Kwa jinsi ambavyo jeshi la Israel lilivyoiharibu Gaza ni kweli idadi iliyotajwa ya vifo na inawezekana ni zaidi ya hapo.
Israeli imepiga mabomu makazi ya watu, shule, hospitali na baadhi ya nyumba za ibada. Wanaua mpaka waandishi wa habari, watoto, kina mama,wazee n.k.
Sasa kwa staili hiyo hakuna propaganda hapo. Al-Jazeera ni shirika la utangazaji linalocover kila kitu kwenye habari , tena zile ambazo haziwafurahihishi American na washirika wao.
 
Sasa hizi mbona zinafurahisha wamarekani na watu wao... Vifo 19,000 ni watu wengi si kidogo. Watu wanafurah ujue.
 
Wajinga ndio wanafurahi. Israeli anachofanya Gaza ni " Genocide " ile siyo vita ya kawaida ni mauaji ya kimbari kama walivyouwawa wao milioni 8 huko Ujerumani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walichofanya Hamas ni chanzo cha haya yanayoendelea wacha wawachape kisawa sawa... Wapumbavu ndo watatetea. Nyie watanzania hata mkitekwa mkauawa hakuna anayejali sababu hamna thamani. Wenzenu wanaweza ingia vitani sababu ya watu 500 tu ninyi huku hata kutoa tamko kwa watu wenu wawili wameuawa mnashindwa. Wacha walipize tu....
 
Kila siku naangalia Al-Jazeera na matukio Yao kuhusu hivi vita vya Israel na hamas ni live bila chenga. Kwa jinsi ambavyo jeshi la Israel lilivyoiharibu Gaza ni kweli idadi iliyotajwa ya vifo na inawezekana ni zaidi ya hapo.
Israeli imepiga mabomu makazi ya watu, shule, hospitali na baadhi ya nyumba za ibada. Wanaua mpaka waandishi wa habari, watoto, kina mama,wazee n.k.
Sasa kwa staili hiyo hakuna propaganda hapo. Al-Jazeera ni shirika la utangazaji linalocover kila kitu kwenye habari , tena zile ambazo haziwafurahihishi American na washirika wao.
Al jazeera ndio wafadhiri wakuu wa Hamas.. unategemea nini kwenye news ni full propaganda tu Israel aonekane mbaya.. kuna siku boger wa Hamas alikuwa anatengeneza shoort fvido kama airstike imelipua kituo cha shule watu wanaigiza wapo hoi ila hamna sehemu iliyolipuka na mtoto wamempaka rangi nyekundu nyingi mno analia kama mtoto aliyekosa uji hana jeraha hiyo kipande cha mtoto around 12 years wakakiweka kwenye breaking news hahaha nikawaona wangese sana.. and kuna mama wa kipalestina alikuwa anawalaumu hamas wakamziba mdogo waandishi hahaha
 
Back
Top Bottom